'Tembo' avunja amri ya sita!

'Tembo' avunja amri ya sita!

HIZI SASA NI AKILI ZA KU

HIZI SASA NI AKILI ZA kuazima afadhali umurudishie akili zake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.umetaja ndege na wanyama , na siyo binadamu. iko siku hata wewe utajufunza anayo fanya kuku ..... sitaki kukucheka
kwa hiyo ulioona wanagagaduana ni binadamu mpaka uulize kama mtoto kaona
 
Jifunze kucomment mbele ya watu wenye imani tofauti. Mpaka hapa umewadhihaki watu zaidi ya billion moja kwa ujinga wako!!
Wao ndio wajinga kwa sababu hata Biblia wanayobeba na kwepnda nayo kanisani haisemi kwamba amri ya kukemea zinaa ni ya sita.
 
Hao jamaa hapo juu lazima waporomoke gemu likikolea!

Tembo huwa hawakati kiuno wakati wa shughuli, analenga tu halafu anatoa kitu lita tano na mimba miaka mitatu, hivyo jamaa hapo juu wajibalance hakuna kuanguka!!!🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂😀
 
Angetanguizwa dume kwenye msafara isingetokea hii

271f55731153868df29a2d5d1ab1a75b.jpg
 
Back
Top Bottom