'Tembo' avunja amri ya sita!

'Tembo' avunja amri ya sita!

Kwani ili uishike (uiishi) Amri fulani ni lazima uje hiyo amri ni namba ngapi?Kwa hiyo Wasabato mnaishi Amri kulingana na orodha siyo? Kwa mfano ukikutana na jambo linalokutaka ulitekeleze labda la Amri ya tatu lakini hujatekeleza la amri ya pili utaliruka na kusubiria kwanza wakati ufike utekeleze hilo la amri ya pili kisha ndio urejee hilo la amri ya tatu?
Muulize mleta mada alipoitaja amri ya sita alitegemea wewe utaelewa ni ipi kati ya hizo kumi? au ni wasabato ndio waliandika Biblia na hizo amri kumi maana umewataja wewe.
 
Back
Top Bottom