britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,209
- 48,375
Swala alionekana anakimbia kama kichaa, tembo akamuuliza "vipi ndugu yangu mbona unakimbia kama una kichaa?" swala akajibu kwamba "mbuzi wote waliopo porini wanakamatwa",
Tembo akashangaa na kuuliza lakini wewe sio mbuzi ni swala.? Swala akamwambia kwa mfumo wetu itanichukua miaka 10 kuwaaminisha kama mimi ni swala na sio mbuzi, tembo nae ikabidi aungane nae mbiombio
Britanicca