Tembea uone....

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,883
Kuna nyumba nilialikwa futari
nikakuta kuna mtu humo kwenye nyumba
yuko above 25...haumwi na ana afya njema
but ni hivi.....

anafuturu sawasawa na wenzie waliofunga ingawa yeye hafungi

usiku anaamka kula daku..na hata kama wanaofunga bado hawaaamka yeye anajisevia tu huyoo lol

asubuhi anakunywa chai na mabaki ya daku na futari....

mchana kutwa anakula....

na ikifika wakati wa kufuturu yeye ndo wa kwanza kusogea kufuturu...lol

hii dunia ina vituko hiii......
 
teh teh, kwa raha zake The Boss kama nduguze wanamchukulia poa ni sawa. we achana naye!
 
Last edited by a moderator:
mroho huyo...hana hata chembe ya aibu, hadi kuamka usiku, loo.
 
Jitu kula kumbonji! Hasara!
Yaani limtu la hivyo nalo kwenye incomin' Sensa litahesabiwa!
Si ni kupaka rangi upepo!
 
Loh... The Boss kumbe nawe mmbea?? Btw, hivi watu wengine huwaga wanapata wapi hamu ya kula kiasi hicho wajameni? Milo miwili tu yenyewe naihangaikia, sembuse speed ya huyo ndugu! Lol
 
Last edited by a moderator:
Kama wenyeji ndio walikupa hiyo habari maana yake wameanza kuchoka na tabia zake...
 
Loh... The Boss kumbe nawe mmbea?? Btw, hivi watu wengine huwaga wanapata wapi hamu ya kula kiasi hicho wajameni? Milo miwili tu yenyewe naihangaikia, sembuse speed ya huyo ndugu! Lol

metabolism ipo juu......na ukute hata hanenepi huyooo...lols!
 
Back
Top Bottom