barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
1.Teknolojia ya kutoonekana, napita barabarani au naingia benki hanioni mtu kwa raha zangu!Wakuu kama mnavojua kuna technology nyingi sana ambazo kwa miaka ya nyuma nadhani hazikuwepo lakini leo hii zipo...Je kwa upande wako unatamani teknologia gani mpya uishuhudie....
Je mfano siku ukaweza kumrushia mwenzako chaji kwa whatsapp?? Au siku ukaweza kudownload chakula kwenye internet???
2. Technologia ya kubonyeza kitufe tu niko mbeya!
3. Technologia ya kuweza kukaa siku kadhaa hata mwezi bila kula na mwili usipate madhara yoyote!
4. Technologia ya kuniwezesha kupumzika/ kulala mwaka mzima bila ya madhara kwa mwili.
4. Flying cars kuondokana na foleni, ukienda mjini sio lazima ufuate barabara za ardhini.
4. Technologia ya kuchagua jinsia na idadi ya watoto kuzaliwa kwa mpigo wakiwa na afya tele.
5. Umeme wa wireless, hamna manguzo na mawaya waya!
6. Factory reset ya binadamu.