Teknolojia gani kubwa ungependa itokee duniani

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,773
5,322
Habari wanaJF,

Wakuu kama mnavojua kuna technology nyingi sana ambazo kwa miaka ya nyuma nadhani hazikuwepo lakini leo hii zipo.

Je, kwa upande wako unatamani teknologia gani mpya uishuhudie?

Fikiria, siku ukaweza kumrushia mwenzako chaji kwa WhatsApp?

Au siku ukaweza kudownload chakula kwenye Internet?
 
WAKUU KAMA MNAVOJUA KUNA TECHNOLOGY NYINGI SANA AMBAZO KWA MIAKA YA NYUMA NADHANI HAZIKUWEPO LAKINI LEO HII ZIPO...JE KWA UPANDE WAKO UNATAMANI TEKNOLOGIA GANI MPYA UISHUHUDIE....JE MFANO SIKU UKAWEZA KUMRUSHIA MWENZAKO CHAJI KWA WHATSAPP?? AU SIKU UKAWEZA KUDOWNLOAD CHAKULA KWENYE INTERNET???

Nafikiria teknologia ambayo hatutatumia simu au device inayofanana nayo. Unakuwa na chip ambayo ukizaliwa tu inakuwa implanted and inaunganisha mawasiliano ya mwili wako wote na pia kukuwezesha kuwasiliana na wengine. Kwa mfano, nikitaka kuwasilana na mke wangu aliyepo Ulaya ninachotakiwa ni kumuwaza tu na papo hapo systems zinamtumia ujumbe na anakuwa na uwezo wa kujua kile ninachowaza au kutaka kumwambia na yeye 'anajibu' (i.e. nakuwa na uwezo wa kutafsiri exactly kile anachofikiri).
 
WAKUU KAMA MNAVOJUA KUNA TECHNOLOGY NYINGI SANA AMBAZO KWA MIAKA YA NYUMA NADHANI HAZIKUWEPO LAKINI LEO HII ZIPO...JE KWA UPANDE WAKO UNATAMANI TEKNOLOGIA GANI MPYA UISHUHUDIE....JE MFANO SIKU UKAWEZA KUMRUSHIA MWENZAKO CHAJI KWA WHATSAPP?? AU SIKU UKAWEZA KUDOWNLOAD CHAKULA KWENYE INTERNET???

!
!
Ningependa ije ya kumdownload demu halafu atokee live. Namfanya matusi namfanya matusi halafu namuapload tena arudi kwenye net
 
Kila kitu kiwe automated.

Unafungua kampuni na kuajiri maroboti yakufanyie kazi.

hii ikitokea itatulazimisha tuache capitalism simply because asiye kwenye tech industry au hana kampuni kubwa atakosa kazi. Itabidi vitu viwe free na manufacturing companies ziwe owned na serikali la si hivyo many people will die of hunger, hata kama bei ya vitu itashuka sana.
 
!
!
Kwani productivity ni nini? Sio inategemea na aina ya kazi? Maana kuna wengine sie ni misingibolo mjini hapa.

Productvity kwenye kazi yoyote ile, unless upo kwenye industry inayojihusisha na ngono, in which case nitashangaa sana simply because kama ungekua kwenye hiyo industry means ungekua unapata sex kirahisi, usingehitaji kuwish kua na tech ya kukupatia sex anytime you want.

Mkuu "misingibolo" kwangu ni vocabulary mpya, maana yake nini?
 
Msingibolo ni wanaume waishio mjini kwa kutegemea ukubwa wa nyeti zao na uwezo wao kwa bed, kwa hiyo hulipwa kwa kutoa dozi.
Kuhusu kuwish heading imesema ni teknolojia ipi nawish iwepo, ndio nimeona hiyo kwangu itakuwa mpya.
Kimsingi nilikuwa natania tu mkuu, mda uende ende basi. Mambo vipi lakini
 
Nafikiria teknologia ambayo hatutatumia simu and device inayofanana nayo. Unakuwa na chip ambayo ukizaliwa tu inakuwa implanted and inaungashisha mawasiliano ya mwili wako wote na pia kukuwezesha kuwasiliana na wengine. Kwa mfano, nikitaka kuwasilana na mke wangu aliyepo Ulaya ninachotakiwa ni kumuwaza tu na papo hapo systems zinamtumia ujumbe na anakuwa na uwezo wa kujua kile ninachowaza au kutaka kumwambia na yeye 'anajibu' (i.e. nakuwa na uwezo wa kutafsiri exactly kile anachofikiri).

wachaaa!!
 
Back
Top Bottom