Teknolojia gani kubwa ungependa itokee duniani

Teknolojia gani kubwa ungependa itokee duniani

Natamani iije technology ya kumfanyia binadamu factory reset kama Simu, au computer.
MTU akiwa kichaa, au akaugua ugonjwa mbaya, au tukagundua ana mawzo mabaya tunamfanyia factory reset anakuwa Mpya kila kitu kama Mtoto aliyezaliwa upya.
Alafu tuna install upya mambo tunayotaka awe nayo.

Hii itasaidia kuwafanyia factory reset magaidi na watu wengine wabaya na kuwafanya wachungaji, au watu kama madocta na manesi.
Pia mtu akikaribia kufa tunamfanyia factory reset then tunamfanyia installation upya.

Refer "Brain washing or Electric fog"
 
Injini za maji zipo tayari check Google.
Japan kuna Gari mtaani kabisa linafanyiwa majaribio. Kinachotkea maji yanachakatwa kutengeneza Hydrogen Ions ambazo zinatumika kucharge batri zinazoendesha motor.

Hii Mkuu ndani ya miaka kumi itakuwa kitu cha kawaida.
Kwa sasa wame give up kwani kuna ushindani dunia nzima.
Na maisha yanaenda haraka sana kwa technology.

Siku hizi hakuna siri tena katika biashara wala ubabe.
Vumbua kitu uza hata ushindani wa biashara kuna Uhuru zaidi kuliko miaka ya nyuma.
 
Fatilia taarifa za kama week mbili zilizopita china wana movie theathre ambazo utazikia harufu ya kitu wakati unaangalia movi. au nawe unaweza kuwa ndani hiyo movi. Kama vile kwenye computer game unapom control character wako ila hapa unakuwa wewe mwenywe.
Huwezi amini mwaka 1959 USA walitoa hii ya harufu.
Baada ya vita vya pili watu walianza kuangalia zaidi TV na cinema kukosa soka, ikabidi walete mbinu za kila aina ili watu waangalie cinema.
Lakini idea haikuwa nzuri kwani walipendelea just movies.

Miaka hiyo kuna movie ya kutisha walionyesha wakatoa ofa kuwa atakae kufa kwa woga atalipwa $1000 wakati huuuoooo
 
Technolojia ya kutokuzeeka kabisa. Maana yake tusife kwa uzee wa maradhi.

Japo wenzetu naona tayari wako kazi kama kawaida yao. kwa kuwa na teknolojia ya kutengenza/kuotesha viungo vya mwili.

Kuchuja blood cells. ilikuzifanya cell zipate nafasi ya kuzaliana upya na kwa kasi kama kwa vijana na watoto.

Ngozi kuipa uweza wa kujisafisha na kutoa ngozi ya kizee.

na mambo yanendelea......
 
Teknolojia ya Kuongea na mtu aliyeko Bara lingine bila kutumia kifaa chochote kile " kwa sauti"
 
Wavuta sigara wafanyiwe body modification wawe na bomba la kutolea moshi!
 
Wakuu kama mnavojua kuna technology nyingi sana ambazo kwa miaka ya nyuma nadhani hazikuwepo lakini leo hii zipo...Je kwa upande wako unatamani teknologia gani mpya uishuhudie....

Je mfano siku ukaweza kumrushia mwenzako chaji kwa whatsapp?? Au siku ukaweza kudownload chakula kwenye internet???
Kuwe na technolojia ya kuwasha moto wa mkaa na kuzima moto kwa remote
 
Natamani itokee,huduma ya kurushiana chaji kama vile iliivyo huduma za kurushiana vifurushi na kadhalika.

Yaani iwepo huduma ya "CHAJI RUSHA'
 
Nafikiria teknologia ambayo hatutatumia simu au device inayofanana nayo. Unakuwa na chip ambayo ukizaliwa tu inakuwa implanted and inaunganisha mawasiliano ya mwili wako wote na pia kukuwezesha kuwasiliana na wengine. Kwa mfano, nikitaka kuwasilana na mke wangu aliyepo Ulaya ninachotakiwa ni kumuwaza tu na papo hapo systems zinamtumia ujumbe na anakuwa na uwezo wa kujua kile ninachowaza au kutaka kumwambia na yeye 'anajibu' (i.e. nakuwa na uwezo wa kutafsiri exactly kile anachofikiri).
Haya ndo mambo unam....xxx alafu una..cçç
 
Natamani iije technology ya kumfanyia binadamu factory reset kama Simu, au computer.
MTU akiwa kichaa, au akaugua ugonjwa mbaya, au tukagundua ana mawzo mabaya tunamfanyia factory reset anakuwa Mpya kila kitu kama Mtoto aliyezaliwa upya.
Alafu tuna install upya mambo tunayotaka awe nayo.

Hii itasaidia kuwafanyia factory reset magaidi na watu wengine wabaya na kuwafanya wachungaji, au watu kama madocta na manesi.
Pia mtu akikaribia kufa tunamfanyia factory reset then tunamfanyia installation upya.
Hata ufanye factory reset..TEKNO haiwezi kuwa IPHONE
 
Back
Top Bottom