Sim Card
JF-Expert Member
- Dec 30, 2019
- 881
- 1,606
Gari za kutumia tenk za kujaza upepo tu. Yaani unapump upepo unaanza misele
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaGari za kutumia tenk za kujaza upepo tu. Yaani unapump upepo unaanza misele
Sent using Jamii Forums mobile app
maroboti yanaitaji Umeme mkuu.. sasa siku umeme ukate utakavorudi unayaona tu kwenye aljazila au cnn huko yanatafuta dalaliKila kitu kiwe automated.
Unafungua kampuni na kuajiri maroboti yakufanyie kazi.
duhMi nataka nyundo ijigonge yenyewe ......bila kushikwa mpini
- Njia kwanza! kupotea na baadae kutokea sehem nyingine, which means u have to destroy matter and then recreate it elsewhere. Kufanya hivyo unaenda against the laws of physics "Matter can neither be created nor destroyed", hivyo teleportation itaendelea kua ndoto.Teleportation:mtu kufika sehem moja hadi nyingine in seconds kama vile kutuma text ilivyo!!
Teknolojia ambayo itanifanya niwasahau ma Ex wote.. Yani inafanye nijue walikuwa majambazi fulani hivi au magaidi yani wakafa ziwani.. Wakaliwa na samaki, baadae nikavua hao samaki kwenda kuwapika nikawaweka kwenye mafuta nikaenda sebuleni kucheki series mpya nikakuta wote wameungua na wamekua weusi tiii..!Wakuu kama mnavojua kuna technology nyingi sana ambazo kwa miaka ya nyuma nadhani hazikuwepo lakini leo hii zipo...Je kwa upande wako unatamani teknologia gani mpya uishuhudie....
Je mfano siku ukaweza kumrushia mwenzako chaji kwa whatsapp?? Au siku ukaweza kudownload chakula kwenye internet???
Gari inapotembea inakata upepo, upepo unaweza kuzalisha umeme, na umeme unaweza endesha gari.Gari za kutumia tenk za kujaza upepo tu. Yaani unapump upepo unaanza misele
Sent using Jamii Forums mobile app
kama kuna garimoshi basi hata gariupepo tutawezana tuGari inapotembea inakata upepo, upepo unaweza kuzalisha umeme, na umeme unaweza endesha gari.
Teknologia inayofanya kuta ziseme yanayofanywa ndani ya nyumba na vyumba.Wakuu kama mnavojua kuna technology nyingi sana ambazo kwa miaka ya nyuma nadhani hazikuwepo lakini leo hii zipo...Je kwa upande wako unatamani teknologia gani mpya uishuhudie....
Je mfano siku ukaweza kumrushia mwenzako chaji kwa whatsapp?? Au siku ukaweza kudownload chakula kwenye internet???
.- Njia kwanza! kupotea na baadae kutokea sehem nyingine, which means u have to destroy matter and then recreate it elsewhere. Kufanya hivyo unaenda against the laws of physics "Matter can neither be created nor destroyed", hivyo teleportation itaendelea kua ndoto.
- Ya pili! U've to travel fast, so fast that within a fraction of a second uwe umefika unakotaka kufika. The only way u can be that fast is to travel with the speed of light.
From E=M.C.C , anything with mass needs an infinity amount of energy to achieve a speed which is close to that of light (C). The energy of that magnitude does not exist, hivyo teleportation itaendelea kua ndoto tu.
Unasemaje???!
!
Mimi pia ningetamani iwepo teknolojia ya kutengeneza barafu za moto.
Mara pap.. Badala ya kumchek wife.... Inaenda kwa wi-fiwachaaa!!
Hi tayari inakujaNafikiria teknologia ambayo hatutatumia simu au device inayofanana nayo. Unakuwa na chip ambayo ukizaliwa tu inakuwa implanted and inaunganisha mawasiliano ya mwili wako wote na pia kukuwezesha kuwasiliana na wengine. Kwa mfano, nikitaka kuwasilana na mke wangu aliyepo Ulaya ninachotakiwa ni kumuwaza tu na papo hapo systems zinamtumia ujumbe na anakuwa na uwezo wa kujua kile ninachowaza au kutaka kumwambia na yeye 'anajibu' (i.e. nakuwa na uwezo wa kutafsiri exactly kile anachofikiri).
Yap.. ndo maana wameannza na ile sexy dolls..Hi tayari inakuja
Mtoto wa Elon musk amepewa jina Kwa sababu
Ya teknolojia hii.. inasemekana kuongea hakutahitajika in the future
Mmmhkumfufua aliekafa
ndio hivyo kuna miili imehifadhiwa inasubiri itakapogunduliwa hiyo teknology basi ifufuliweMmmh
Mbwa nae akajichanganya.. akamezwa na chatu... wakati chatu akichokonoa chokoa meno kwa stick akatokea mchina akampiga mtama kama wa adam mchomvu... akaenda nae Wuhan kumfanya supu kitoweo... Corona ikaona huu ujinga ikaanza kudili na mchina.....Teknolojia ambayo itanifanya niwasahau ma Ex wote.. Yani inafanye nijue walikuwa majambazi fulani hivi au magaidi yani wakafa ziwani.. Wakaliwa na samaki, baadae nikavua hao samaki kwenda kuwapika nikawaweka kwenye mafuta nikaenda sebuleni kucheki series mpya nikakuta wote wameungua na wamekua weusi tiii..!
Nikawatupa jalalani wakaliwe na mbwa..
Yani ikija hii teknolojia nitaanza nayo hata ikiwa kwenye kipindi cha majaribio