Teknolojia gani kubwa ungependa itokee duniani

Teknolojia gani kubwa ungependa itokee duniani

Hiyo technology IPO tayari, angalia simu za Samsung zenye wireless charge.
Iletwe basi Bongo tuachane na haya manguzo na manyaya, by the way hiyo bado haijafikia ninayoongelea hapo inatakiwa hamna haja ya charger maanaake popote pale ulipo simu inaweza ikacharge maana umeme unakuwa ni kama mtandao tu wa simu, nikiwa kwenye daladala nachaji, yaani popote pale ulipo unakuwa na access ya umeme hata kama ni porini provided kuna network ya umeme na una salio la luku.
 
kuona mambo ya kesho mkuu ni idea nyingine na kitu ambacho hakipo...Mungu ndo mwenye uwezo wa kukufunulia uone mambo yajayo..sio kwa teknolojia ya kibinadamu..
zaidi ni sawa na kusema ujue siku saa na dakika utakayokufa utakuwa unapingana na Mungu mkuu..
haiwezi kutokea mkuuu
Unaweza kuona mambo ya kesho ila dini hairuhusu.
 
Technology ambayo nawish ifike na ninaamini itafika ni video kurekodi harufu yaani kama Kwenye movie sterling yuko jikoni anapika basi tuipate harufu ya chakula. Na hii naamini itafika kwani ilianza picha tupu, hatimae picha inatembea, kisha ikawa picha na sauti, why not na harufu!?
Tecnolojia Hiyo inafanyiwa tafiti , naamini mpaka 2025 inakuwepa Sokoni.
 
Kuna tech zingine tutaishia kuziangalia kwenye movies tu kama hiyo time travel ni ndoto kwani dunia au maisha sio cinema hata uweze kuruka from one point to another..... Na binadamu bado technology yake ni poor sana imeonesha mapungufu mengi sana, kama ameshindwa hata kumaster mwili wake na kuzuia ageing au hata magonjwa basi atasubiri sana
Unachokiona kwenye movies kipo au kinakuja, Freemason wanapenda kuonyesha ulimwengu technolojia mpya kwenye movies.
 
Teknolojia ya kusafirisha harufu. Mtu akiwa dar, mwingine akiwa mwanza asikie harufu ya nyama inayopikwa dar
 
Back
Top Bottom