Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 11,239
- 14,072
madharatechnolojia ya kuweza kuangalia matukio ya kesho/kipi kitantokea kesho
Watu wasingethamini kujielimisha.
Tunajielimisha ili kupambana na kitakachotokea kesho na kukishinda.
madharatechnolojia ya kuweza kuangalia matukio ya kesho/kipi kitantokea kesho
Satellite radio zipo, kule USA kuna makampuni yanatoa huduma za satellite radio, kuna xm satellite na Sirius satellite radio station.Pia natamani redio zitumie satelite kama vingamuzi ili kusiwe na haja ya kufunga antena na minara kama ilivyo sasa
MadharaKudownload bia..unachagua kama ni moto au baridi
Mind programming na DNA hackingNatamani iije technology ya kumfanyia binadamu factory reset kama Simu, au computer.
MTU akiwa kichaa, au akaugua ugonjwa mbaya, au tukagundua ana mawzo mabaya tunamfanyia factory reset anakuwa Mpya kila kitu kama Mtoto aliyezaliwa upya.
Alafu tuna install upya mambo tunayotaka awe nayo.
Hii itasaidia kuwafanyia factory reset magaidi na watu wengine wabaya na kuwafanya wachungaji, au watu kama madocta na manesi.
Pia mtu akikaribia kufa tunamfanyia factory reset then tunamfanyia installation upya.
MadharaKila kitu kiwe automated.
Unafungua kampuni na kuajiri maroboti yakufanyie kazi.
The power of God is within you. Nguvu zipo ndani yako.Mungu katuficha mengi San
Katuwezesh kuitumia elimu kutengeneza vitu vyenye uwezo mkubwa kam ndege kupaa,meli kuelea kweny maji bt hajatak kutupa uwez wa kujitengeneza na kujimodify sis kam kuweza kupaa au ata kuwa na speed kam ya mwanga
kwa siye tunaowaza watu wengi kwa wakati mmoja server itakua overloaded.Nafikiria teknologia ambayo hatutatumia simu au device inayofanana nayo. Unakuwa na chip ambayo ukizaliwa tu inakuwa implanted and inaunganisha mawasiliano ya mwili wako wote na pia kukuwezesha kuwasiliana na wengine. Kwa mfano, nikitaka kuwasilana na mke wangu aliyepo Ulaya ninachotakiwa ni kumuwaza tu na papo hapo systems zinamtumia ujumbe na anakuwa na uwezo wa kujua kile ninachowaza au kutaka kumwambia na yeye 'anajibu' (i.e. nakuwa na uwezo wa kutafsiri exactly kile anachofikiri).
Madhala!
!
Ningependa ije ya kumdownload demu halafu atokee live. Namfanya matusi namfanya matusi halafu namuapload tena arudi kwenye net
Ya kuing'oa ccmWakuu kama mnavojua kuna technology nyingi sana ambazo kwa miaka ya nyuma nadhani hazikuwepo lakini leo hii zipo...Je kwa upande wako unatamani teknologia gani mpya uishuhudie....
Je mfano siku ukaweza kumrushia mwenzako chaji kwa whatsapp?? Au siku ukaweza kudownload chakula kwenye internet???
Injini za maji zipo tayari check Google.Aliuwawa aliyetengeneza engine ya hivyo miaka mingi iliyopita.
Hii itaua aisee
Hii mbona ipo, chaputa!
Hiyo ipo zamani kama mvua inanyesha kwenye movie na wewe unahisi kabisaa, na kama ni ngumi inakupata usipokwepa (kidding)
Wakuu kama mnavojua kuna technology nyingi sana ambazo kwa miaka ya nyuma nadhani hazikuwepo lakini leo hii zipo...Je kwa upande wako unatamani teknologia gani mpya uishuhudie....
Je mfano siku ukaweza kumrushia mwenzako chaji kwa whatsapp?? Au siku ukaweza kudownload chakula kwenye internet???
woods welding machines!!!
TBL watoe huduma kama DAWASCO, waunganishe mabomba ya kusambaza bia hadi majumbani.
yaani hapa mtu akisoma hii thread bas mawazo yanahamia kwa kuwawaza wazungu kuwa waje na hizo new ideas tukiamini sis hatuwez,...
iknow we can sisi wenyewe chamsingi ni kukaza mkanda na kujua kila kitu kinawezekana tukafanya wonders na kutengeneza vitu vyetu wenyewe vya ndani.na kujenga historia tofauti......
tufikili kwa tofauti,..hivi mtu ushawahi hata kuwaza kutengeneza kitu au kubuni kitu cha tofauti ambacho hakipo duniani???????
hapo ndo unapokuja ubunifu na udadisi...binafsi nipo ktk udadisi kubuni kitu ambacho hakipo duniani na hamna mtu aliyewaza kuwepo kwahiko kitu na muda simrefu nkiwa tyr ntakuja hapa jukwwaani kwanza,....
kupata baraka za wadau......
think great
God mode!!..