evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,335
hii never hapn mkuuuuuuuu,...technolojia ya kuweza kuangalia matukio ya kesho/kipi kitantokea kesho
haitokuja tokea
hii never hapn mkuuuuuuuu,...technolojia ya kuweza kuangalia matukio ya kesho/kipi kitantokea kesho
mkuu situtakosa kazi aseeeeeKila kitu kiwe automated.
Unafungua kampuni na kuajiri maroboti yakufanyie kazi.
fikili pia kuhusu ugali mkuuLol! Leo umenipa idea mpya, while we do have 3D printers na mtu anakutumia 3D model unaprint, its still not that great kwa sababu hata materials zinazotumika kwenye hizi printers ni very limited na they are still expensive. We are far off from printing msosi ila umenifungua akili, em let me try kufanya hii kama project, nilikua natafuta idea za project yangu this semester sasa nimeipata.
Nitakachofanya ni kutengeneza a simple machine inayohold different varieties of ingredients, alafu nitakachofanya ni kuipa logic tu, unaipa recipe yenyewe inachanganya then inatoa notification kua its ready. This might work kwa simple stuffs kama juice, ila sio kwenye kupika vitu complex, but still since inakua computerized then mtu anaweza kua na recipe yake ya juice akai-upload online mtu mwingine akaidownload then machine ikafata instructions ikatengeneza au kama inakosa ingredient flani inatoa tu notification.
hebu nambie sababu za zenyewe kutotokeahii never hapn mkuuuuuuuu,...
haitokuja tokea
kuona mambo ya kesho mkuu ni idea nyingine na kitu ambacho hakipo...Mungu ndo mwenye uwezo wa kukufunulia uone mambo yajayo..sio kwa teknolojia ya kibinadamu..hebu nambie sababu za zenyewe kutotokea
!
!
Ningependa ije ya kumdownload demu halafu atokee live. Namfanya matusi namfanya matusi halafu namuapload tena arudi kwenye net
Ikija kutokea hii basi me mbwaNafikiria teknologia ambayo hatutatumia simu au device inayofanana nayo. Unakuwa na chip ambayo ukizaliwa tu inakuwa implanted and inaunganisha mawasiliano ya mwili wako wote na pia kukuwezesha kuwasiliana na wengine. Kwa mfano, nikitaka kuwasilana na mke wangu aliyepo Ulaya ninachotakiwa ni kumuwaza tu na papo hapo systems zinamtumia ujumbe na anakuwa na uwezo wa kujua kile ninachowaza au kutaka kumwambia na yeye 'anajibu' (i.e. nakuwa na uwezo wa kutafsiri exactly kile anachofikiri).
Haitokuja kutokeaTuweze kudownload na kuprint Hard materials . Like msosi unatumiwa unadownload tu unakula
Evelyn Salt uwe unapita pia majukwaa ya tech pia
kuna mada pia zinakuhusu...
Impossible!!!Technology ambayo nawish ifike na ninaamini itafika ni video kurekodi harufu yaani kama Kwenye movie sterling yuko jikoni anapika basi tuipate harufu ya chakula. Na hii naamini itafika kwani ilianza picha tupu, hatimae picha inatembea, kisha ikawa picha na sauti, why not na harufu!?
For God so loved the world that he gave his oneKuzuia kifo..tuishi milele
Naona biozoon ya ujerumani wanafanya hiyo ya chakula.Lol! Leo umenipa idea mpya, while we do have 3D printers na mtu anakutumia 3D model unaprint, its still not that great kwa sababu hata materials zinazotumika kwenye hizi printers ni very limited na they are still expensive. We are far off from printing msosi ila umenifungua akili, em let me try kufanya hii kama project, nilikua natafuta idea za project yangu this semester sasa nimeipata.
Nitakachofanya ni kutengeneza a simple machine inayohold different varieties of ingredients, alafu nitakachofanya ni kuipa logic tu, unaipa recipe yenyewe inachanganya then inatoa notification kua its ready. This might work kwa simple stuffs kama juice, ila sio kwenye kupika vitu complex, but still since inakua computerized then mtu anaweza kua na recipe yake ya juice akai-upload online mtu mwingine akaidownload then machine ikafata instructions ikatengeneza au kama inakosa ingredient flani inatoa tu notification.
Nataka nikimwangalia mtu tu nijue anafikiria/anawaza nini
Hiyo ipo zamani kama mvua inanyesha kwenye movie na wewe unahisi kabisaa, na kama ni ngumi inakupata usipokwepa (kidding)Technology ambayo nawish ifike na ninaamini itafika ni video kurekodi harufu yaani kama Kwenye movie sterling yuko jikoni anapika basi tuipate harufu ya chakula. Na hii naamini itafika kwani ilianza picha tupu, hatimae picha inatembea, kisha ikawa picha na sauti, why not na harufu!?
Aliuwawa aliyetengeneza engine ya hivyo miaka mingi iliyopita.Magari yatumie maji badala ya petrol na diesel