Teknolojia gani kubwa ungependa itokee duniani

Teknolojia gani kubwa ungependa itokee duniani

Natamani sana hawa wataalamu wafanye mapinduzi kwenye line za simu. wafanye hivi:

Mtu akikupigia simu eti lazima simu iwe on ndo uione call yake au ujue ndo kama unapigiwa

sasa nataka nkitoa laini mtu akinipigia basi lain ivaibreti kana kwamba ini alert kua mtu anapiga so ndo nweke kene sim

NB; Wene smartphones za lain moja
Hii nimeipenda!!
 
WAKUU KAMA MNAVOJUA KUNA TECHNOLOGY NYINGI SANA AMBAZO KWA MIAKA YA NYUMA NADHANI HAZIKUWEPO LAKINI LEO HII ZIPO...JE KWA UPANDE WAKO UNATAMANI TEKNOLOGIA GANI MPYA UISHUHUDIE....JE MFANO SIKU UKAWEZA KUMRUSHIA MWENZAKO CHAJI KWA WHATSAPP?? AU SIKU UKAWEZA KUDOWNLOAD CHAKULA KWENYE INTERNET???
"Vituo vya polisi viwe na Helicopter"
 
Nafikiria teknologia ambayo hatutatumia simu au device inayofanana nayo. Unakuwa na chip ambayo ukizaliwa tu inakuwa implanted and inaunganisha mawasiliano ya mwili wako wote na pia kukuwezesha kuwasiliana na wengine. Kwa mfano, nikitaka kuwasilana na mke wangu aliyepo Ulaya ninachotakiwa ni kumuwaza tu na papo hapo systems zinamtumia ujumbe na anakuwa na uwezo wa kujua kile ninachowaza au kutaka kumwambia na yeye 'anajibu' (i.e. nakuwa na uwezo wa kutafsiri exactly kile anachofikiri).
Hili wazo lako lipeleke ubalozi wa Marekani uliopo hapa Tanzania wakusaidie kuliwasilisha sehemu husika watalifanyia kazi!
 
Nilichogundua hapa:

Kila mtu hapa anawaza lile ambalo ni changamoto kwake.....

Ukiona mtu anawaza kudownload demu au bia ujue hivi vitu ni adimu kwake......
 
Kuwezesha umeme kusafiri wirelessly kama ilivyo kwa mawasiliano ya simu.
 
Ningependa iwepo teknolojia ya kuzuia kufa kabisa maana kifo kinaharibu stimu zooote maishani
 
Back
Top Bottom