Teknolojia gani kubwa ungependa itokee duniani

Teknolojia gani kubwa ungependa itokee duniani

Wireless charger ya masafa marefu
Kama simu au laptop imeishiwa charge unaunganishiwa toka home na kwa mda mchache
 
Gari ikiisha mafuta uikojolee tu halafu iendage,kwa kifupi mikojo iwe nishati ya kuendeshea gari au mashine bila kuhitaji iwe processed
 
search
 
Teleportation:mtu kufika sehem moja hadi nyingine in seconds kama vile kutuma text ilivyo!!
Hii Kitu Nilikua Naitaman Wakat Nipo Dar Yale Mafolen Hatar Mpka Nilikua Natamani Kupaa, Kisha Sekunde 30 Niwe Nishafika Posta..
 
Pesa tu, mahela tu tuwe tunaprint hata kukiwa na limitation kwamba kwa mwezi mwisho wa kuprint ni milioni 10 poa tu.....
Ukijaribu jaribu unaambiwa "umefika kiwango cha mwisho tafadhali jaribu tena baadae"
 
Mmmh!! IPO shida tena nahic inawez kukugharm mkuu lkn kama upo OK, hkuna shida!
Namie nna hitaji, nna idea idea kiasi nshaisoma kule intelligence ila hii kitu haina ushirikina kweli??? Make mazingira ya kuifanya kama vile ushirikina
 
Kusafiri kwa sekunde sehemu yoyote duniani bila gari, ndege , treni, au meli.
 
Mie nawaza kula tu

Watengeneze chakula ambacho nikila Leo mpaka mwaka kesho ndio nasikia njaa tena
 
Binadamu kusafiri electronically, yaani anabadilika kuwa mawimbi anasafiri kwa sekunde moja labda hadi marekani halafu kifaa fulani kinambadili na kurudi kwenye hali ya kawaida!
 
Back
Top Bottom