Teknolojia gani kubwa ungependa itokee duniani

Teknolojia gani kubwa ungependa itokee duniani

Nafikiria teknologia ambayo hatutatumia simu au device inayofanana nayo. Unakuwa na chip ambayo ukizaliwa tu inakuwa implanted and inaunganisha mawasiliano ya mwili wako wote na pia kukuwezesha kuwasiliana na wengine. Kwa mfano, nikitaka kuwasilana na mke wangu aliyepo Ulaya ninachotakiwa ni kumuwaza tu na papo hapo systems zinamtumia ujumbe na anakuwa na uwezo wa kujua kile ninachowaza au kutaka kumwambia na yeye 'anajibu' (i.e. nakuwa na uwezo wa kutafsiri exactly kile anachofikiri).
Hii itaua aisee
 
Technologia ninayofikiri ni kuwa na tanki kubwa kwa mfumo wa tube ya gari vile la mpira au foldable material unaliweka kwenye tanker ya mafuta ukisafirisha mafuta ukifika unapakua halafu unalitoa na kulikunja unapakia mahindi kwenye tanker unakuja nayo. Tanker inakuwa inafunguka kwa nyuma. Ukitaka kupakia mafuta unarudishia hilo plastic tanker kwenye tanki unapakia.
 
Mi naona technology ya sex wireless itakua nzur mtu analiamsha dude hta akiwa na watt wake
 
Za kuuwa mawasiliano ya sim na internet
 
Kuwe na kifaa ambacho unaweza kuangalia matukio ya mtu ya nyuma tangu alipozaliwa hii itakua rahisi hasa mahakaman
 
Time travel,..yan mtu uweze kurud past,miaka ya 1800 huko,au uweze kwenda future,miaka ya 2050 hukoo
 
Natamani iije technology ya kumfanyia binadamu factory reset kama Simu, au computer.
MTU akiwa kichaa, au akaugua ugonjwa mbaya, au tukagundua ana mawzo mabaya tunamfanyia factory reset anakuwa Mpya kila kitu kama Mtoto aliyezaliwa upya.
Alafu tuna install upya mambo tunayotaka awe nayo.

Hii itasaidia kuwafanyia factory reset magaidi na watu wengine wabaya na kuwafanya wachungaji, au watu kama madocta na manesi.
Pia mtu akikaribia kufa tunamfanyia factory reset then tunamfanyia installation upya.
 
Mungu katuficha mengi San
Katuwezesh kuitumia elimu kutengeneza vitu vyenye uwezo mkubwa kam ndege kupaa,meli kuelea kweny maji bt hajatak kutupa uwez wa kujitengeneza na kujimodify sis kam kuweza kupaa au ata kuwa na speed kam ya mwanga
 
japo kauzi ka siku nyingi lakini ngoja nitupie kidogo. Mi ningependa pawepo na teknolojia ya bunduki, ambayo risasi ikipigwa iwe inakata kona kama gari yaani ikipigwa iwe inakufukuza weeee! mpaka inakuua, kama ukiizidi mbio isiweinakuacha yaani ikufukuze siku nzima mpaka ikuuwe ndo inatulia.
 
Mifuko ya pesheni ingekuwa INA link mfano unataka akiba yako iliyopo NSSF iende vodapesa,tigopesa au NHIF
 
Back
Top Bottom