Twende nikakuoneshe sehemu ya kununua tatizo mnakurupuka kama mziki anaoufanya mondiW
wala sikuibiwa tena originally ila lg ziko hivyo kubali kataa
Ukiwa unairudisha pitia kwangu nikushauriMkuu nitashukuru sana lakini nakuhakikishia kama itakuwa haikai na chaji nitakurudishia Asubuhi utaikuta mlangoni kwako.



Mzk wa tekno utauona ikimaliza mwaka mmoja toka uinunue....yaan hii yangu Mara ijizime,Mara nikiwasha data istucj hadi nireboot,Mara inasearch mambo ambayo sijataka yaan taabu tupu.
Mi ni tecno user na siyo kwamba sijawahi kumiliki samsung hapana ila ilinichosha kutokana na kutaka kunigeuza kuwa teja wa kwenye soketi ya umeme.
Toka nimeanza kutumia tecno hizo changamoto kwangu ni no japo hazidumu sana sometime na mapicha picha yake lakini Tecno is the best kwangu.
---inakaa na chaji 24+ hours kama sina mambo ya kufanya online.
__Camera yake iko vizuri .
__Kioo kikubwa
__Rahisi kuitumia haina mambo mengi.
__Space ya kutosha tu 16GB siyo haba kwa matumizi yangu binafsi.
__bei yake ni kawaida tu kwa mimi mjasiriamali au ata mkulima kuweza kuimudu.
__Upande wa data ni 4G+ na hazina ugumu kwenye upande wa Network setting.
Mnaotuponda watumia Tecno mkuje hapa mtupe Utofauti wa simu zenu.
Mi niko hapa natumiaTecno na hii post mnayoina nimeandika kwa kutumia tecno bila shaka mmeiona haina tofauti na atakaekuja kuandika kwa kutumia Samsung au I phone.



Yawezekana ilikuwa clone.Ngoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.
Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.





Tecno kwa mapichapicha ni KIBOKO uzuri wake ni affordable yaani features za Tecno let's say j8 ikiwa ni za Samsung tungennunua labda 2millionView attachment 861103
Yeah zinawahi kusumbua fimware. Lakini version kubwa zinakaa walau miaka 2.Mzk wa tekno utauona ikimaliza mwaka mmoja toka uinunue....yaan hii yangu Mara ijizime,Mara nikiwasha data istucj hadi nireboot,Mara inasearch mambo ambayo sijataka yaan taabu tupu.



Mkuu siku za chini ya laki 2 zitakusumbua.ram ndogo sana zinastack mno. Af poor camera.![]()
NITAPATA W4 MPYA KWA 150,000/= MKUU?
Galaxy j7 pro iko poa sana kwenye chaji. Nadhani kuliko galaxy serues zoteNilikuwa napenda sana lg na nimetumia sana kuanzia lg v10,lg g3,samsung s5,4 na 3 ila tatizo ni moja hazikai na chaji tena bora Samsung kuliko lg zinapata moto kama zimetoka jikoni.ila saizi nimeamia kwenye iphonechaji saa 24 halafu data zipo on pia haipati moto gb zakutosha 128 .