Tecno User Vs Samsung and iphone user

Tecno User Vs Samsung and iphone user

Tecno H6 ndio ndio key revolution ya smartphone za tecno na karibun MTK zote hasa kwenye camera, na ngoja n google ila nahc ndo inaongoza kwa mauzo kwa cm za tecno, ile cm kuweka mbali specifications sijaona tecno kama ile, sijawah kua mteja wa tecno ila ile angarau niliipenda
True say mkuu tecno H6 iz best Tecno phone ever
 
Ngoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.

Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
Dada umetuachia brand yetu pendwa?
 
Ngoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.

Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
ilikuwa setting babu ,huende uliipa 3G tu na huku kwenu ni nje ya mji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom