Tecno User Vs Samsung and iphone user

Tecno User Vs Samsung and iphone user

Shida ya s4 inayoniboa mimi (pia ipo kwenye s3) ni kuchemka, ila kuhusu chaji naamini bado hujapata betri lenyewe, betri feki zipo nyingi sana.
Tatizo ukinunua betri mpya chaji itajitahidi mwezi baada ya hapo mizinguko ya kurudi kwenye soketi inaanza
 
Tecno ni simu za hovyo sana kuwahi kutokea Duniani!mtoa mada naweza kukulipia iPhone 7plus au Samsung note8 kama hutojali
Mkuu nitashukuru sana lakini nakuhakikishia kama itakuwa haikai na chaji nitakurudishia Asubuhi utaikuta mlangoni kwako.
 
Niko na samsung tab A2016 mwaka wa pili sasa ina 4000mah 24hrs kawaida data on, ikiwa data off ni +40hours ina inbuilt ultra power saving mode hiyo nikiwa mashambani hiyo ni kuanzia siku 4 na data on
 
Nimenunua mpya betri lakini apa nilipo nipo kwenye sakiti tena gest yani balaa natembea nachaji mkuu
Pole sana mkuu simu inakugeuza kuwa mwanaume wa dar muda wote na kibegi cha kubebea chaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom