Tecno User Vs Samsung and iphone user

Tecno User Vs Samsung and iphone user

Mi ni tecno user na siyo kwamba sijawahi kumiliki samsung hapana ila ilinichosha kutokana na kutaka kunigeuza kuwa teja wa kwenye soketi ya umeme.

Toka nimeanza kutumia tecno hizo changamoto kwangu ni no japo hazidumu sana sometime na mapicha picha yake lakini Tecno is the best kwangu.

---inakaa na chaji 24+ hours kama sina mambo ya kufanya online.

__Camera yake iko vizuri .

__Kioo kikubwa

__Rahisi kuitumia haina mambo mengi.

__Space ya kutosha tu 16GB siyo haba kwa matumizi yangu binafsi.

__bei yake ni kawaida tu kwa mimi mjasiriamali au ata mkulima kuweza kuimudu.

__Upande wa data ni 4G+ na hazina ugumu kwenye upande wa Network setting.

Mnaotuponda watumia Tecno mkuje hapa mtupe Utofauti wa simu zenu.

Mi niko hapa natumiaTecno na hii post mnayoina nimeandika kwa kutumia tecno bila shaka mmeiona haina tofauti na atakaekuja kuandika kwa kutumia Samsung au I phone.

Mkuu I Phone <> Iphone
 
Sijawahi tumia tecno ila pia sijafikiria kununua tecno, samsung s6 edge ilkuwa haikai na chaji nikanunua samsung c9 pro..aisee huu mwaka wa pili na sifikirii kuibadili kwa sasa, betri siku 2, ram 6gb, rom 64gb iko fasta no mastack...tecno mh
Bei yake plz
 
Mzk wa tekno utauona ikimaliza mwaka mmoja toka uinunue....yaan hii yangu Mara ijizime,Mara nikiwasha data istucj hadi nireboot,Mara inasearch mambo ambayo sijataka yaan taabu tupu.
Imeugua kichaa hiyo. Ipeleke milembe.
 
Mzk wa tekno utauona ikimaliza mwaka mmoja toka uinunue....yaan hii yangu Mara ijizime,Mara nikiwasha data istucj hadi nireboot,Mara inasearch mambo ambayo sijataka yaan taabu tupu.
Nna C7 hapa mwaka na nusu ila ni kama mpya
 
Mtoa mada ni wachina wangapi umewaona wanatumia tecno!?trust me 75% ya wachina wanatumia iPhone kumaanisha hawaziamini simu zao
Wapi uliona nabii anaheshimiwa katika nchi yake?. Techno zikiruhudiwa marekani usikute robo tatu ya wamarekani wanatumia techno kuliko simu mnazozitumia. Hasa kwa suala la gharama. Mnapenda ram na GB kubwa kubwa ila unamipicha mingi ambayo hata huiangalii unaijaza tu mingine umepiga hadi Giza usiku nyeusi tiii. Ukiulizwa ulikuwa unamaanisha huna jibu ndio unaifuta. Acheni ulimbukeni simu ni simu tu tumia kwa muda gawa au uza nunua nyingine. Baneni matumizi lisimu bei kuubwa likiibiwa machozi yanaanza kukutoka huu ushenzy tu na ulimbukeni tu.
 
Wew sema tu n umaskin ndio tatzo...taabu za tekno hazivumilik kama MTU una mkwanja uliotulia
 
Mkuu nahs km unaiona ninavyoenjoy na 6s plus yngu
Una enjoy unadownload baga humo ndani kisha unakula?. Una nini cha ziada zaidi ya kuingia jf, fb, instra, na mengine mengi ambayo hata mwenye techno anafanya?. Sipati picha kwa gharama ya hiyo simu unavyotembea ukiangalia nyuma labda utakabwa au.

Nakumbuka nilinunua simu mpya ya gharama ya 3k aisee nilikuwa sijiamini njiani nikisikia mtu anapita nyuma nageuka fasta ilikuwa mateso ila nilivyozoea ikawa shwali tu.
 
Bhc hujainstall many apps na labda una external memory card... Ila tekno sio simu kabisa
Sasa uinstall many app za nini? Simu unaijaza ma apps kibao ambayo hayana faida alafu unashangaa kuzidiwa kwake ata hizo i phone ukizijaza zaidi ya uwezo wake lazima istaki .

Inastack laptpot(Pc) sembuse simu mkuu tatizo mnapenda kuzioverspace hizo simu tofauti na matumizi yake ndio maana mnaziona magumashi ila tecno iz the best.
 
Wapi uliona nabii anaheshimiwa katika nchi yake?. Techno zikiruhudiwa marekani usikute robo tatu ya wamarekani wanatumia techno kuliko simu mnazozitumia. Hasa kwa suala la gharama. Mnapenda ram na GB kubwa kubwa ila unamipicha mingi ambayo hata huiangalii unaijaza tu mingine umepiga hadi Giza usiku nyeusi tiii. Ukiulizwa ulikuwa unamaanisha huna jibu ndio unaifuta. Acheni ulimbukeni simu ni simu tu tumia kwa muda gawa au uza nunua nyingine. Baneni matumizi lisimu bei kuubwa likiibiwa machozi yanaanza kukutoka huu ushenzy tu na ulimbukeni tu.
Utakuta simu ameijaza ma apps ata hayana faida si ulimbukeni wenyewe huo mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: J C
Fact
IMG-20180910-WA0026.jpg
 
Tungekuwa karibu tungegonga cheazi wazee wa iphone.
Hiki tu ndicho mlichonacho prestige basi ila sote tunafunga miguu pale tukiitwa wamiliki wa simu janja. Tusidharauliane. Simu ni kama tumbo aliyekula makande na sausage wote ni sawa ukiwaona hutojua nini kimo tumboni.
 
Utakuta simu ameijaza ma apps ata hayana faida si ulimbukeni wenyewe huo mkuu.
Waambie Mkuu. Mie Nina games ambazo sina muda wa kuzicheza ninapomaliza comment hii nayafuta yote kudadek.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom