Tecno User Vs Samsung and iphone user

Tecno User Vs Samsung and iphone user

Kwanza jina tu iphone! Daamn ️ linavutia! Ukija logo yake pale nyuma daah! Hatari sana! Ukija kwenye security hatuna mpinzani iphone unaweza ukaitrack hata kama imezimwa! Ukiibiwa dont worry kuhusu data zako coz mpaka FBI walifeli kucrack ka password tu cha kufungulia! Kwahyo mwizi atafaidika na spare tu, ukija camera kama jicho la eagle mama£ hata ukizoom quality inabaki pale pale, ukija kwenye umbo na kabisaaa! Madada wengi wa mjini wameliwa kwa sababu ya iphone sijawahi kusikia demu kaliwa kwa kuhongwa tecno! Mwisho kabisa Watumiaji wote wa Iphone ni akili mingi. Ila tecno hata beki 3 anamiliki! Wazee wa Tecno utawasikia wanakwambia iphone zipo complicated saana
mh sikupanga kuchangia ila ngoja nichangie,INA maana iPhone zinaongeza akili,ngoja twende mirembe tukawagawie vichaa wote iPhone iwe tiba.
 
mh sikupanga kuchangia ila ngoja nichangie,INA maana iPhone zinaongeza akili,ngoja twende mirembe tukawagawie vichaa wote iPhone iwe tiba.

Kama umeshindwa kumiliki 1 tuu utaweza kuwa nazo nyingi sawa na udadi ya vichaa? Mkuu Nunua iphone hutojuta
 
Sema duniani kuna aina mbili tu za malimbukeni type ya kina myweather nao ni watumiaji wa I phone na Sumsung wanaoponda simu zingine eg Tecno

Huna Hela Kaka! iphone ni ndoto ya kila Binadamu Fanya kazi upige Pesa ukavute iphone yako! Ni sawa na kumiliki vits Halafu unasema wenye V8 na Rangerover Malimbukeni Non sense
 
Umeonaeee. Hazina maana hizo simu.

Itakuwa zero Iq anazisifia sababu hajakutana na madhila yake.
Labda inawezekana ila kuna tecno mimi niliitumia miaka mitatu na ilikuwa fresh sana tena utunzaji wangu ni mbovu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom