Mtoa mada ni wachina wangapi umewaona wanatumia tecno!?trust me 75% ya wachina wanatumia iPhone kumaanisha hawaziamini simu zaoMi ni tecno user na siyo kwamba sijawahi kumiliki samsung hapana ila ilinichosha kutokana na kutaka kunigeuza kuwa teja wa kwenye soketi ya umeme.
Toka nimeanza kutumia tecno hizo changamoto kwangu ni no japo hazidumu sana sometime na mapicha picha yake lakini Tecno is the best kwangu.
---inakaa na chaji 24+ hours kama sina mambo ya kufanya online.
__Camera yake iko vizuri .
__Kioo kikubwa
__Rahisi kuitumia haina mambo mengi.
__Space ya kutosha tu 16GB siyo haba kwa matumizi yangu binafsi.
__bei yake ni kawaida tu kwa mimi mjasiriamali au ata mkulima kuweza kuimudu.
__Upande wa data ni 4G+ na hazina ugumu kwenye upande wa Network setting.
Mnaotuponda watumia Tecno mkuje hapa mtupe Utofauti wa simu zenu.
Mi niko hapa natumiaTecno na hii post mnayoina nimeandika kwa kutumia tecno bila shaka mmeiona haina tofauti na atakaekuja kuandika kwa kutumia Samsung au I phone.
Am going to try this phone onceMy favorite phone
Nilikuwa napenda sana lg na nimetumia sana kuanzia lg v10,lg g3,samsung s5,4 na 3 ila tatizo ni moja hazikai na chaji tena bora Samsung kuliko lg zinapata moto kama zimetoka jikoni.ila saizi nimeamia kwenye iphonechaji saa 24 halafu data zipo on pia haipati moto gb zakutosha 128 .


Kwani watanzania wangapi umewaona wanatumia nyama ya mbwa kama kitoweo? trust me 99%ya watanzania wanatumia nyama ya ng'ombe kama kitoweo kumaanisha hawaiamini nyama ya mbwa lakini Wachina je mkuu?Mtoa mada ni wachina wangapi umewaona wanatumia tecno!?trust me 75% ya wachina wanatumia iPhone kumaanisha hawaziamini simu zao
Tungekuwa karibu tungegonga cheazi 📱📱📱📱📱wazee wa iphone.Mkuu nahs km unaiona ninavyoenjoy na 6s plus yngu![]()
Poa jamaaaTry and u will enjoy mkuu
Nna iphoneX hapa, cjaona pakuweka comment yangu.Wale wa IPhone tunaweka wapi Reply zetu?
Kweli sijawahi kujutia watu wananambia simu ya zamani iuze lakini sidhani kama nitapata ingine nzuri kama hii kwa uwezo wanguTecno H6 ni moja kati ya simu nzuri kabisa za Tecno




Ngoja kwanza inazma chaji na ilikua 70% sasahv.Mkuu vipi hiyo tecno haina instagram,facebook,whatsapp ,jamii forum app kama i phone yako?