Tecno User Vs Samsung and iphone user

Tecno User Vs Samsung and iphone user

Mkuu we katest huo mtambo usitumie tecno za promosheni lazima zikusumbue Tecno Camon ni nouma,kuna Spark(K7) kuna sasa spark 2 zote ni nouma fingerprint security.
Sawa mkuu ....ila siku nikipata mkwanja wa maana tekno ztanisahau moja kwa moja ....HV vioja vyake vinachosha
 
Haha hahaaaa. 64 GB angalia mambo ualiyomo ndani sasa. Miziki miiingi. Mapicha meeengi mengine hayana maana. Apps sasa nyingi sana na bado nafasi inadai kioo kinabust, betri linakufa, mtoto analitupa kwenye jagi la maji yaani vurugu tupu. Kwa 2 million tena za mkopo. Haha hahaaaa.
Umaskin watu ndio tatzo mkuu...kama ukiwa na hela us not a big deal mtoto akitupia majini unanunua nyingne,ila kwa vile tunakabiliwa na umaskin ndio maana u count risks za iphone kabla hata hujanunua...iphone tamu jmn..bhc tu
 
Duuuh....bhc nishajua naelekezana na mbishi wa asili...kama unaweza sema tandale na mbez mbichi maisha n sawa au maisha ya watanzania n sawa na ya wamarekani ktk ubora yaan quality bhc wew utakuwa na ubishi asilia...
Sidhan kama inahitajika elimu ya degree kujua kuwa maisha ya masaki sio sawa na yale ya mbagala japo wote hupumua hewa ileile...
Kila mtu aishi maisha yake asimdharau mwenzie kwani mwisho wa wenye mwili ni mmoja. Maisha hayalingani ila matatizo ya simu za techno ni storage ndogo hivyo kupelekea kustack na hata kuji restart ila ukitumia kwa uangalifu mbona tunapiga nazo miaka. Hakuna techno iliyowahi kunifia isipokuwa moja ambayo niliiroot vibaya ikafa ila niliifufua mtoto akaipiga chini touch ikafa ila nyingine zote niliibiwa tu na watu zikiwa na umri Mkubwa tu.
 
Umaskin watu ndio tatzo mkuu...kama ukiwa na hela us not a big deal mtoto akitupia majini unanunua nyingne,ila kwa vile tunakabiliwa na umaskin ndio maana u count risks za iphone kabla hata hujanunua...iphone tamu jmn..bhc tu
Ina nini ndugu yangu?. Hebu nielezee. Mfano Nina redio ya Sony utamu wake ni kuwa naweza set time ikajizima na time ikawaka tena kwa jinsi utakavyo. Unaweza weka CD wimbo Fulani ikaamka na wimbo huo au kituo Fulani cha redio n.k. unaweza record kipindi redioni wakati haupo ukarudi ukasikiliza. Ina equalizer system za ukweli hasa ikiwa una watch movie huu ndio utamu wa hii redio.
Hebu nipe utamu sasa wa I phone.
 
Kila mtu aishi maisha yake asimdharau mwenzie kwani mwisho wa wenye mwili ni mmoja. Maisha hayalingani ila matatizo ya simu za techno ni storage ndogo hivyo kupelekea kustack na hata kuji restart ila ukitumia kwa uangalifu mbona tunapiga nazo miaka. Hakuna techno iliyowahi kunifia isipokuwa moja ambayo niliiroot vibaya ikafa ila niliifufua mtoto akaipiga chini touch ikafa ila nyingine zote niliibiwa tu na watu zikiwa na umri Mkubwa tu.
N kweli kudharauliana kisa maisha sio fresh wala nn yaan ...ila tu ukumbuke kuwa maisha ya nchi tajiri sio sawa na ya cc nchi maskin...ndio maana nchi zilizoendelea wanaishi miaka mingi sana kulko nchi maskin kama sisi so kupumua hewa ileile hakutufanyi tuwe sawa nawao...kuna tofaut kubwa sana kuishi eneo lenye umaskin na eneo lenye Bali nzur ya maisha...tuache ubishi,tekno n simu za nchi maskin hasa bara LA Africa
 
Ina nini ndugu yangu?. Hebu nielezee. Mfano Nina redio ya Sony utamu wake ni kuwa naweza set time ikajizima na time ikawaka tena kwa jinsi utakavyo. Unaweza weka CD wimbo Fulani ikaamka na wimbo huo au kituo Fulani cha redio n.k. unaweza record kipindi redioni wakati haupo ukarudi ukasikiliza. Ina equalizer system za ukweli hasa ikiwa una watch movie huu ndio utamu wa hii redio.
Hebu nipe utamu sasa wa I phone.
Utamu wa iphone kwanza upo kwenye security system yake ndio maana simu hz hutumika ktk nchi zilizoendelea kwa sababu Kule hackers who can access private details n wengi sana sio kama huku,pia faida ta iphone n flexibility yake ktk matumiz,sio rahs kujizimazma ovyoovyo kama tekno zifanyavyo,its searching machine hazsumbui kama za tekno,utakuta tekno unasearch issue fln google ila inakupeleka usikotaka kabisa...pia uimara wa spika zake,hz tekno ukitumia after one year spika zake hupungua ubora,hadi mm nikiwa sehemu isiyo nawatu naweka loudspeaker wakat wa kuongea maana inaumiza nikiweka sikion..utamu wa iphone upo pia ktk kamera zake hasa kwa MTU ambaye anapiga picha hasahasa wale watu wenye kufuatilia mambo ya siri yahusuyo organization au serikali...iphone inafaida sana tu jmn ...ila kwetu cc wabongo tunajua faida ya smartphone n kuingia IG,jf fb,na whatsp bhc.
 
N kweli kudharauliana kisa maisha sio fresh wala nn yaan ...ila tu ukumbuke kuwa maisha ya nchi tajiri sio sawa na ya cc nchi maskin...ndio maana nchi zilizoendelea wanaishi miaka mingi sana kulko nchi maskin kama sisi so kupumua hewa ileile hakutufanyi tuwe sawa nawao...kuna tofaut kubwa sana kuishi eneo lenye umaskin na eneo lenye Bali nzur ya maisha...tuache ubishi,tekno n simu za nchi maskin hasa bara LA Africa
Ni kweli kabisa kikubwa ni kukubali hali uliyonayo mada hii imekaa kishabiki kuwa maisha ya watu wa Tandale sio maisha ni bora kufa kuliko kuishi Tandale tena anayesema haya yuko Mbezi. Sasa nami namuuliza anamaisha yapi ya ziada zaidi yangu?. Atakachoniambia anakwenda beach nami namwambia nami naenda pia Maziwa na bahari fukwe ziko kibao tena bure. Atanitajia misosi anayokula nami namtajia yangu kikubwa Sote tunakula.

Suala la kuishi maisha marefu liko mikononi mwa Mungu
 
Ina nini ndugu yangu?. Hebu nielezee. Mfano Nina redio ya Sony utamu wake ni kuwa naweza set time ikajizima na time ikawaka tena kwa jinsi utakavyo. Unaweza weka CD wimbo Fulani ikaamka na wimbo huo au kituo Fulani cha redio n.k. unaweza record kipindi redioni wakati haupo ukarudi ukasikiliza. Ina equalizer system za ukweli hasa ikiwa una watch movie huu ndio utamu wa hii redio.
Hebu nipe utamu sasa wa I phone.
Akikujibu nitag mkuu
 
  • Thanks
Reactions: J C

Similar Discussions

Back
Top Bottom