Tecno User Vs Samsung and iphone user

Tecno User Vs Samsung and iphone user

Mleta uzi hajawai tumia iPhone sasa sijui kwanini ametuweka na sisi user wa iPhone hapa, si unajua ukitumia iPhone lazima uweke na kizunguu!!, its like kutuonea users wa iPhone
 
EdN9TDmguQWqr3sABZUPjf-650-80.jpeg

#Team Xiaomi Mi a2 lite mpo? Tecno ni low-end devices zinazouzwa bei kubwa, Tecno si simu za bei raisi kama wengi mnavyodhani.
 
Mi ni tecno user na siyo kwamba sijawahi kumiliki samsung hapana ila ilinichosha kutokana na kutaka kunigeuza kuwa teja wa kwenye soketi ya umeme.

Toka nimeanza kutumia tecno hizo changamoto kwangu ni no japo hazidumu sana sometime na mapicha picha yake lakini Tecno is the best kwangu.

---inakaa na chaji 24+ hours kama sina mambo ya kufanya online.

__Camera yake iko vizuri .

__Kioo kikubwa

__Rahisi kuitumia haina mambo mengi.

__Space ya kutosha tu 16GB siyo haba kwa matumizi yangu binafsi.

__bei yake ni kawaida tu kwa mimi mjasiriamali au ata mkulima kuweza kuimudu.

__Upande wa data ni 4G+ na hazina ugumu kwenye upande wa Network setting.


Mnaotuponda watumia Tecno mkuje hapa mtupe Utofauti wa simu zenu.


Mi niko hapa natumiaTecno na hii post mnayoina nimeandika kwa kutumia tecno bila shaka mmeiona haina tofauti na atakaekuja kuandika kwa kutumia Samsung au I phone.
Ilikuwa samsung ya mwaka gani?.Tafuta hizi za 2017-2018 zinatunza sana charge ni zaidi ya saa12 ukiwa unatumia 3G non stop kitu ambacho uwezi fanya maana una kazi zingine pia.Pia zina performance nzuri na feature lukuki.
 
Ngoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.

Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
Swahiba katecno kangu kanapiga mwaka 3 ss
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom