Hemb tuwe wakweli watu weng hutumia tecno kwa sbb ya either
1. Njaa(hili n suala la kawaida)
2. Ubahili(Nature na weng wapo kwenye kund hili)
3. Kutokua na uelewa wa ubora wa makampun mengne, kudanganyana(anakuambia tecno ina camera nzur sana, unaijua samsung wewe?) na urahisi wa upatkanaji
4. Mawazo mgando (Eti ikipotea au kuharbika siingii gharama kubwa.
5. Mkumbo, wateja wa tecno wanaongoza kwa kuigana, unakumbuka enz za H6, C8, C9, BOOM J7? ASAIV SPARK SERIES, yan ukpta pale aggrey ukiangalia chin kila boks lilitupwa ilikua n H6, c8, c9, boom j7 leo hii n spark, halaf wanakuaga na haraka kinyama, yan kabla hujamuwekea accessories za cm kwenye boks ashabeba cm amesepa na ma selfie kibao ashapiga,
Sent from my iphone x and samsung galaxy note 9 at once, nimezinunua jana pale karume karibu na duka la mapajama