Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,055
- 2,911
Ujue matumiz yako ya simu yanatofautina na ya MTU mwingne..chukulia MTU labda m mwanafunz wa udaktar,hyu anaweza install apps mbalimbali zhusuzo shule yake mfano madawa,dictionary, apps za magonjwa n.k....ndio hapo tekno inakuwa taabu tupu...smartphone is mor for chatting onlySasa uinstall many app za nini? Simu unaijaza ma apps kibao ambayo hayana faida alafu unashangaa kuzidiwa kwake ata hizo i phone ukizijaza zaidi ya uwezo wake lazima istaki .
Inastack laptpot(Pc) sembuse simu mkuu tatizo mnapenda kuzioverspace hizo simu tofauti na matumizi yake ndio maana mnaziona magumashi ila tecno iz the best.