Tecno User Vs Samsung and iphone user

Tecno User Vs Samsung and iphone user

Mi ni tecno user na siyo kwamba sijawahi kumiliki samsung hapana ila ilinichosha kutokana na kutaka kunigeuza kuwa teja wa kwenye soketi ya umeme.

Toka nimeanza kutumia tecno hizo changamoto kwangu ni no japo hazidumu sana sometime na mapicha picha yake lakini Tecno is the best kwangu.

---inakaa na chaji 24+ hours kama sina mambo ya kufanya online.

__Camera yake iko vizuri .

__Kioo kikubwa

__Rahisi kuitumia haina mambo mengi.

__Space ya kutosha tu 16GB siyo haba kwa matumizi yangu binafsi.

__bei yake ni kawaida tu kwa mimi mjasiriamali au ata mkulima kuweza kuimudu.

__Upande wa data ni 4G+ na hazina ugumu kwenye upande wa Network setting.


Mnaotuponda watumia Tecno mkuje hapa mtupe Utofauti wa simu zenu.


Mi niko hapa natumiaTecno na hii post mnayoina nimeandika kwa kutumia tecno bila shaka mmeiona haina tofauti na atakaekuja kuandika kwa kutumia Samsung au I phone.

Ulikosea kutoa maelezo,sema kua techno ndio inakufaa kwa matumizi yako.
Pengine na ndio unayomudu
Karibu Ios.
 
Sema duniani kuna aina mbili tu za malimbukeni type ya kina myweather nao ni watumiaji wa I phone na Sumsung wanaoponda simu zingine eg Tecno
Tecno? Hata bure sitaki. Sio ulimbukeni, kutumia tecno sema tu hali ya uchumi mbaya. Ukiwa na stable income tecno ni usumbufu mbaya sana.
 
Mkuu unatumia Tecno kwa kupenda au ni kulingana na kipato chako?

Tecno sio simu ni upuuzi mtupu, Ni kampuni ambayo wanajifunza kutengeneza simu.

Simu za Tecno ni pasua kichwa, Jamaa yangu alitaka nimshauri simu ya kununua alikuwa na laki 8. Nikamwambia anunue Iphose 6 hata kwa mtu au S6 au hata S5 bt yeye akadai anapenda sana Tecno.

Akaenda kununua Tecno Phamtom, baada ya mwezi simu ikaanza kumsumbua mara inajiwasha na kujizima na mengineyo.

Alipotaka kuuza ndio akachoka kabisa, kila mtu aliekuja kuinunua alikuwa hafiki hata 350000.

Mwisho akauza kwa laki 3. Mpaka leo ukimwambia akanunue Tecno nadhani hata polisi atakupeleka.

Tecno bado wapo kwenye Mediacore....!!
 
Siku tecno wakianza tumia qualcomm processor badala ya mchina mediatek pia wakianza weka screen zenye super amoled basi ntakuja tecno
Waambie mkuu, Manake simu za kichina ni matatizo tupu. Kama mnataka simu ambazo zitakaa na chaji muda mrefu kanunueni Nokia ya Tochi
 
Jamani nashauri uzi uitwe iPhone vs Android users
Mana tecno ,samsung,lg ,huawei nk yote mpo kundi mooja
Na sie wa iPhone kundi lingine
Povu at ur own risk mi simo jmn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom