Change_down
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 276
- 54
Mimi natumia tecno y3, mbona haina hayoo matatizooooo
Dah wabongo tuna shida kubwa kwenye reasoning, hivi kama siyo Tecno kwa huu uchumi wetu wa kuungaunga tungekuwa tunajaza server ya JF kweli? Majuzi vijana wa chuo walifurika humu kupigania haki ya kupata mikopo na pia kufuatilia waliopata. Wengi wao ni hizi Tacno za bei poa zinawaokoa. Leo mnazikandia wakati uwezo wa kununua Samsung kwa wengi ni mdogo. Kuweka na shukrani kwa mchina. Angalia Sasa jinsi bodaboda zinavyowasaidia mijini na vijijini.
Weka firmware mpyaNini suluhisho la kujiwasha data?
Umenifurahisha sana.samsung sijawahi ipenda tangu nimeanza kutumia simu huwa na dream nokia, sony na huawei, hizi kidogo kila toleo lina kuwa na utofauti hata wa app na toleo lingine sometymz hata interface ila samsung, iphone na blackberry huwa ni shapes na diamension tu ila kila kitu ndani kinakuwa kile kile
samsung sijawahi ipenda tangu nimeanza kutumia simu huwa na dream nokia, sony na huawei, hizi kidogo kila toleo lina kuwa na utofauti hata wa app na toleo lingine sometymz hata interface ila samsung, iphone na blackberry huwa ni shapes na diamension tu ila kila kitu ndani kinakuwa kile kile
Hayo ni matusi acha ujinga weweMtu anaeenda dukani ananunua Tecno huwa namuona ni km hajaelimika juu ya bidhaa nzuri ya kutumia, Tecno ni cm zilisotengenezwa kwa technology ya chini sana
Mjinga mimi au yule anaenunue cheap device?Hayo ni matusi acha ujinga wewe
soc gani inayokaribisha kirusi? mediatek, unarudi pale pale, wanaotumia simu za snapdragon au exynos wanavisikia redioni tu hivyo virusi na hata vikiingia vinatoka dakika sifuri tu sababu havijieki kama system app.Tunalalamika bure mambo mengi GPS kujiwasha wakati mwingine ni mambo ya virus na udukuzi simu ni kifaa cha udukuzi duniani kinacho tumiwa na serikali mbalimbali na watu binafsi kudukua mambo yetu simuni
kwanini sasa simu za wengine za snapdragon, exynos kirin etc hazijiwashi hizo gps?Asilimia 70 ya aliyoyasema mleta mada ni UONGO. hayo matatizo yapo kwenye simu zote za Android sema tu Tecno ndio zinamilikiwa na walio wengi.
Kuhusu simu kujizima kwasababu ya RAM hiyo hata computer inafanya hivyo baada ya kuFreeze.
Kuhusu GPS kujiwasha hiyo ni kama unatumia Line ya Airtel au kuna App umeweka inayoTrack Location.
Kuhusu App has Stopped working hiyo ni kawaida kwa ka error za simu zingine.
Kuhusu battery kuisha kwasababu ya GPS hiyo ni sawa kwa maana GPS ni mzigo wa ziada.
Nunua simu nyingine kama hutopata tatizo kabisa.
Hata simu za halotel UNLOCKED hazijiwashi Gps ukiweka line ya airtel.kwanini sasa simu za wengine za snapdragon, exynos kirin etc hazijiwashi hizo gps?
Kama tecno sio simu basi ni sabuni nenda ukaiogeeMm Nina techno y3 ina matatizo hayo juu karibu 70% ...subiri kama miez 3 itaanza kukusumbua ....techno sio simu aisee
hio gps kujiwasha sio ukieka airtel tu, ikishaingia tu malware simu yoyote ya mediatek inajiwasha, hapa nilipo yupo jamaa mwenye simu ya halotel kila siku haishi matatizo, app za malware zinahitaji kujua eneo ulipo ili wakuletee Tangazo/wakuibie data kutokana na mahali ulipoHata simu za halotel UNLOCKED hazijiwashi Gps ukiweka line ya airtel.
Hii inategemea na aina ya MTK CHIP iliyotumika. Sijasema kwamba ni tecno zote zinafanya hivyo wala sijasema ni mediatek zote. Nenda Airtel shop ukaulize kuhusu hilo tatizo la simu kujiwasha gps kwao limekuwa kawaida