Tecno Mobile ndani ya GSM Arena

Umefanya nimecheka sana, [emoji23][emoji23][emoji23] yaani hii ni simu ya mwaka huu lakini si ajabu imezidiwa na hii iPhone SE yangu ya miaka kadhaa iliyopita
Hata iphone 3gs ina perform uzuri tu kuliko Tecno Man city
 
Binafsi sumsung,nokia sizikubali kwa tecno.Nimeaza zitumia tecno tangia mwanzo zimeingia sokoni hadi hiv leo na sitoacha.na wakati huo huo nimeanza na i phone 5 hadi sasa i phone7+ tena sio used ni brand new...so inapofikia issue ya kupenda kitu ni just hisia tu...Tena kuna simu za maana kuliko hayo maujinga ya sumsung
 

Asa kama samsung ni maujinga tecno yatakuwa manini[emoji23][emoji23]
 

Zimeenda kuaibika.. ni hatua ya kushukuru hasa Kwa wanunuaji wa tecno ambao walikuwa wananunua product bila kujua .. Sasa watajua wananunua nini ...

Ila kiufupi tu nimeingia nimekuta simu yao latest ina ppi density ya 268 kama sijakosea ni tecno Camon 11 pro .. ni vituko Kwa simu kama hii ina m screen mkuubwa iwe na pixel density ya hivyo alafu haina added tech yoyote kwenye display ..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106][emoji120]
 
Sawa mkuu,

Ila hiyo ndio maana halisi ya simu ya mtumiaji wa hali ya chini.

Hizo PPI kwa mwafrica wa kawaida hajui hata ndio utumbo gani. Hizo mambo za nm mtu wa kawaida hajui ndio vitu gani. So long simu ipo inafanya kazi vizuri , features za muhimu zipo basi vingine ni nyongeza tu. Sijui NFC, Gorilla Glass, Apple Pay, Samsung Pay etc. Sijui hata wewe kama ulishawahi kutumia kwa maisha ya kibongo[emoji16]
 
natoka nje ya mada. nimependa hili toleo jipya la sasa camon 11 ila natamani kujua 11 pro inaweza kwenda kwa bei gani anayejua
Hayo ndio makadirio. Ila maduka ya kawaida unaweza pata hata kwenye 370000/= hivi. (sina uhakika sana)
 
Ubishi huu utakuta kwa waswahili tuu, ambao kila kitu wameletewa. Huwezi kuta mzungu au huyo mchina kwenye hii mambo.
 

Tecno ni vifaa vya mawasiliano unavyotumia ukiwa huna hela .ukipata pesa unanunua simu kama samsung ,nokia na iphone..

Watu wanaoitetea tecno kwamba wanaipenda wakipewa samsung na tecno ni nani atachagua tecno??
Hapo kwenye RED huo mtazamo sio sahihi, Msikilize MH Mbunge hapa neno kwa neno, Kuna kitu cha kujifunza

Hii imenunuliwa siku chache zilizopita.
- Si kweli kuwa hatuzioni hizo tecno.
 
Ubishi huu utakuta kwa waswahili tuu, ambao kila kitu wameletewa. Huwezi kuta mzungu au huyo mchina kwenye hii mambo.
Sasa mmekuja na trick mpya kuwa ni waswahili. Lakini ile tbs yenu ya simu yenye imekubali kwa sasa
 
Samahani mkuu hivi hizo 28nm, 22nm zinamaanisha nini kwenye simu na nikitaka na mimi kujua hii simu ina 7nm yaani sasa kama ndio inayotamba nafanyaje kujua?
 
Kuna mtu anawadhifa mkubwa hapa nchini na pesa anayo huku anatumia tecno
 
Samahani mkuu hivi hizo 28nm, 22nm zinamaanisha nini kwenye simu na nikitaka na mimi kujua hii simu ina 7nm yaani sasa kama ndio inayotamba nafanyaje kujua?
Hizi 28nm/27nm etc. kwa mtumiaji mtanzania ni mbwembwe tu zisizo na tija. Sisi bongo bora tuingie jf. Insta, fb, tweeter, whatsapp, viber na kamera kali tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mtu anawadhifa mkubwa hapa nchini na pesa anayo huku anatumia tecno
Cha msingi ni kuwa tu inakidhi vigezo / inakidhi mahitaji yako ambayo kwa watumiaji wa tanzania ni , voice calls, sms, social network apps na browsing tu.

Hizo maviti nyingine ni hazina lazima.

Waulize watumiaji wangapi wa samsung /apple wanatumia hizo apple pay, samsung pay, nfc etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…