Tecno Mobile ndani ya GSM Arena

Ni nyingi sana ,,sasa kaangalie specs za Phantom 6 plus inayouzwa laki 8,fananisha hata na samsung s5,s6 ambazo ni below laki 5..kwel utatoa laki 8 ununue phantom 6 plus?
Kwa condition gani mana hapo unaongelea laki 8 . Kuna phantom inauzwa laki 8 ??? Phantom ni bellow laki 8 tena kwa brand new kabisa.

Sasa jiulize hizo brand zako s5/s6 brand new ni sh ngapi? Alaf kumbuka usilete bei za refubrished.

Phantom ni cheap option compared na hizo s5/s6
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya insta ya samsung na tecno.

Tecno ni simu yenye kila kitu,ila kuiweka na samsung kundi moja,ni kuipa sifa tecno ambazo haina.hata yenyewe inajua,ndio maana siku hizi wanajitahidi kuficha jina,na kuiga muundo wa simu kubwa.

Nitajie tecno hata moja ambayo haifanani na simu kubwa kabla yake.
Tuanzie hapa.

Nipe tofauti ya insta ya Tecno na Samsung?

Ukishindwa hili basi itabid nikuombe ufute post yako.
 
Hello Techs,

Naona sasa ule ubishi wa kiwango cha ubora wa simu za TECNO kinaelekea mwisho.

Uliwahi anzishwa uzi humu, watu fulani wakakomaa kuwa simu za Tecno hazipo GSM ARENA hivyo hazina ubora wa kuuzika ulaya. USA etc.

Sasa GSM ARENA wameziweka rasmi simu za TECNO , je mna jipya jingine?

Napokea povu la aina yoyote....

Karibuni. Hii battle imefufuka upya

Source: GSM ARENA - All Tecno phones
Nawafuatilia sana hawa gsmarena, kwa kweli kwa kitendo hichi gsmarena hadhi yake imeshuka sana.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya insta ya samsung na tecno.

Tecno ni simu yenye kila kitu,ila kuiweka na samsung kundi moja,ni kuipa sifa tecno ambazo haina.hata yenyewe inajua,ndio maana siku hizi wanajitahidi kuficha jina,na kuiga muundo wa simu kubwa.

Nitajie tecno hata moja ambayo haifanani na simu kubwa kabla yake.
Tecno pop 1 inafanana na ipi?
 
Phantom imetoka na kuuzwa hadi laki 8 ,,,sasa je kwa sifa zipi hasa hata tuseme iuzwe laki 4?

Alaf kuhusu refurbished..ni mara 100 ununue refurbished ya samsung kulko kununua brandnew ya tecno kwa gharama kubwa.

Kwaiyo wewe unajifanya huzijui tecno zenye bei kubwa wakat specs hakuna kitu.

Mfano angalia simu za Mi ziko na ubora mzur kwa bei nzuri siyo ya kutisha kulko haya madela yanayoitwa tecno.
Kwa condition gani mana hapo unaongelea laki 8 . Kuna phantom inauzwa laki 8 ??? Phantom ni bellow laki 8 tena kwa brand new kabisa.

Sasa jiulize hizo brand zako s5/s6 brand new ni sh ngapi? Alaf kumbuka usilete bei za refubrished.

Phantom ni cheap option compared na hizo s5/s6
 
Phantom imetoka na kuuzwa hadi laki 8 ,,,sasa je kwa sifa zipi hasa hata tuseme iuzwe laki 4?

Alaf kuhusu refurbished..ni mara 100 ununue refurbished ya samsung kulko kununua brandnew ya tecno kwa gharama kubwa.

Kwaiyo wewe unajifanya huzijui tecno zenye bei kubwa wakat specs hakuna kitu.

Mfano angalia simu za Mi ziko na ubora mzur kwa bei nzuri siyo ya kutisha kulko haya madela yanayoitwa tecno.

Mtu na akili timamu huwezi toa zaidi ya 150k unanunua tecno,ni wazi huziheshimu pesa zako.
 
Tuanzie hapa.

Nipe tofauti ya insta ya Tecno na Samsung?

Ukishindwa hili basi itabid nikuombe ufute post yako.

Tofauti ipo,ita hapo mtu mwenye samsung muombe afungue insta nawewe ufungue insta kwenye tecno yako,kisha wote pandisheni mwanga mpaka mwisho.

Utakacho gundua ktk samsung,picha za insta zitaonyeshwa vizuri sana,bila kujali zimepigwa na kifaa gani.
 
Sasa mkuu hiyo ni tofauti ya Insta??

Insta for Android ni ile ile regardless unatumia samsung, nokia, tecno , itel etc.

Unachoongelea wewe ni ubora wa kioo cha simu husiku, ukisema samsung display inaonesha sharp pictures kutokana na higher resolution n.k nitakuelewa ila ukisema insta tofauti husomeki mzeeiya.

Nirudie tena, huwezi ukatengeneza kitu unachotegemea atumie mtumia wa hali ya chini alaf utumie vifaa vya gharama.

Simu lower end huwezi weka mi snapdragon, compas, super amoled display, gorilla glass, nfc etc
 
ukinunua simu unazingatia kipi?

Alaf niambie option ya 150k kwa sasa kwa brand new android smartphone ni ipi?

Si ndio hiyo pop one, na infinix,viwa,itel ‍♂️‍♂️huzijui simu zinazouzwa kkoo???

Anyway nikinunua simu naangalia perfomance yenye ubora,sio camera na charge pekee.
 
Ukiwekewa Tecno na Sumsung unachagua nini hapo
Sumsung=>Samsung

Siwezi kuchagua jina.
Lazima niangalie specification kwanza, nilinganishe na uhitaji wangu na gharama ya mfuko wangu.

Point ya kuongezea. Fuatilia comments zangu zilizopita. Hakuna mahala nimelinganisha Samsung na Tecno.

Nilichosema ni kuwa tecno ni simu OG zilikua designed kutumika na mtumia wa gharama ya chini. Ndio mana hata samsung nae ana simu alizodesign kwa ajili ya watu wa chini. Zipo samsung zinatumia mtk/spd soc. Unajua hili?
 
Si ndio hiyo pop one, na infinix,viwa,itel huzijui simu zinazouzwa kkoo???

Anyway nikinunua simu naangalia perfomance yenye ubora,sio camera na charge pekee.

Ni vigezo vizuri. Sasa mbona kwa mimi hii Pop1 imekidhi hivyo vigezo vyote.

App ninazotumia ni
Nfield Capi
Jf
Whatsapp
Insta
Fb
Camera (japo sio sana)
Youtube
Gmail
Maps
Drive
Chrome
Sina wimbo wala file kubwa. Tones natumia zilizokua pre loaded.
Charge inakaa masaa ya kutosha.

Nahitaji nini cha ziada mpaka ninunue jisimu la 500k ? Eti kisa jina?
 
  • Thanks
Reactions: sab
Sasa mkuu hiyo ni tofauti ya Insta??

Insta for Android ni ile ile regardless unatumia samsung, nokia, tecno , itel etc.

Unachoongelea wewe ni ubora wa kioo cha simu husiku, ukisema samsung display inaonesha sharp pictures kutokana na higher resolution n.k nitakuelewa ila ukisema insta tofauti husomeki mzeeiya.

Nirudie tena, huwezi ukatengeneza kitu unachotegemea atumie mtumia wa hali ya chini alaf utumie vifaa vya gharama.

Simu lower end huwezi weka mi snapdragon, compas, super amoled display, gorilla glass, nfc etc

Kumbe sasa hamna ubishi tena.

Watumiaji wa tecno wanatakiwa wafurahie tecno zao kwa wakati wao,wanapoanza kuziona ni sawa na samsungu,lg,nokia,sony,iphone!!!!hapa ndipo wanapoonekana na matatizo.
 
Simu nzuri sio jina aisee jamaa, ni ubora wake, ubora wa tecno ni mdogo sana kwa sumsung , huawei, nokia, nk

Back
Top Bottom