Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

IPS display

16 NM

Mediatek

Protection NEG glas

Camera sensor haijulikani

Fast charg 10w

Hiyo simu imepitwa karbia kila kitu na note 5
Tena note 5 ni ya 2015 ,hyo Tecno ni ya 2018, shame on Tecno

Tecno itabaki kua tecno tu mkuu



Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Hata note 3, kwa utendaji wa kazi hiyo tekno akalale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tecno ni sawa na Dem mwenye Tako kama la Vera sidika tako kuubwa lakn akili na sura ni ziro...nikimaanisha Berti zao kidooogo ndio zinajiweza maana kwingine kumeshindikana wanaiga iga tu kwa Jobs ila Moja ni moja haiwez kua tano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli mpaka unaona nimebwaga manyanga basi jua nimechoka[emoji23]

Yani tecno ni ile ti kujistiri ukiwa una hela, ila sio device za kutumia kwa kudumu.

Nimetumia P5, S5, Phantom Pad, w3, Wx3 na Sasa ni F3 yani zote ni ujinga ule ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha nakumbuka umegombana na watu wengi humu kwa ajili ya Tecno kumbe tecno yenyewe inakunyoosha kimyakimya[emoji23][emoji23] ila bora umetoka Misri karibu Nchi ya Maziwa na Asali[emoji847]

Sent using Samsung Galaxy
 
Ukishasema tu ni Tecno basi...hizo simu hata uzisifieje ni hamna kitu,mchina ni mchina tu.Tecno yoyote duniani unaweza ukalala usiku na kukikucha ukakuta imetuma sms yenyewe kwa mama mkwe wako I love you,ndo utakapojua mama mkwe anajua kuongea au la.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Ukishasema tu ni Tecno basi...hizo simu hata uzisifieje ni hamna kitu,mchina ni mchina tu.Tecno yoyote duniani unaweza ukalala usiku na kukikucha ukakuta imetuma sms yenyewe kwa mama mkwe wako I love you,ndo utakapojua mama mkwe anajua kuongea au la.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
"Mchina ni mchina tu" Hata xiaomi?

Sent using My Xiaomi Redmi 4a
 
Kwa kweli mpaka unaona nimebwaga manyanga basi jua nimechoka[emoji23]

Yani tecno ni ile ti kujistiri ukiwa una hela, ila sio device za kutumia kwa kudumu.

Nimetumia P5, S5, Phantom Pad, w3, Wx3 na Sasa ni F3 yani zote ni ujinga ule ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kutafuta camon x kuendelea,huko chini tecno ni lawama tu....ni simu mbovu haijawahi kutokea,ila hizi kubwa ya kuanzia laki tatu na themanini angalau inaongeleka mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF kwa dharau yaani hapa utadhani kila mtu anahela hiyo ya kununua hizo Simu zingine,hapa anaidharau tecno Uzi mwingine huko analia njaa......JF wote ni first class jambo ambalo si kweli na wengi tunashindia mlo mmoja tu....
Utadhani masimu ya Tecno yaliyojazana huku mitaani huwa ni matoy tu nakati ndizo simu zilizosheheni kibao hapa Dar[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom