Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

Kuna hii kitu inaitwa tecno ca7 imesimama balaa,mwanzo nilikuwa nawaza kununua note 5 nilipokutana nayo aisee imenipunguzia mambo mengi sana,kuanzia gharama kwa huku imesimama laki tano na 30,ina ram 3gb,rom 32gb,camera 20mp inakaa na chaji kwa watumiaji wenye fujo....very nice phone ever,nakushauri kamauna uhitaji wa simu na unahela nunua hiyo simu,hautajutia....

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wewe ni jasiri alafu hauna aibu.. napenda mtu Kama hii.
Ikitoka Android 10 wanatengeza simu mpya kila vassion ya Android wao hutoa new device..HUU NI UPUMBAVU
Waondoe system update ktk smuzao maana sjawai miliki tecno afu nkaapdate kutoka version Moja kuelekea nyengine..zaidi ya minor update nadra.
 
Ukimiliki mtwango kama huu si hatare sana utasumbua ww ??? !![emoji16][emoji16]kama unaimini simu yako weka dream league km haitastuck masaa yote afu nawe unasema ety una simu ???? My brother tecno phone ina maisha mafupi .
IMG-20190416-WA0006.jpeg
 
Mtu anatoa laki 5 kwa chipset ya mediatek
IPS display

16 NM

Mediatek

Protection NEG glas

Camera sensor haijulikani

Fast charg 10w

Hiyo simu imepitwa karbia kila kitu na note 5
Tena note 5 ni ya 2015 ,hyo Tecno ni ya 2018, shame on Tecno

Tecno itabaki kua tecno tu mkuu



Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Kuna hii kitu inaitwa tecno ca7 imesimama balaa,mwanzo nilikuwa nawaza kununua note 5 nilipokutana nayo aisee imenipunguzia mambo mengi sana,kuanzia gharama kwa huku imesimama laki tano na 30,ina ram 3gb,rom 32gb,camera 20mp inakaa na chaji kwa watumiaji wenye fujo....very nice phone ever,nakushauri kamauna uhitaji wa simu na unahela nunua hiyo simu,hautajutia....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo unaibiwa huku unaona!!!
Katafute redmi note 7 au Mi 8 lite then rudi tena hapa
 
Hapo unaibiwa huku unaona!!!
Katafute redmi note 7 au Mi 8 lite then rudi tena hapa
Arudi wapi na tekno???[emoji23][emoji23][emoji23]Aishie uko ukooo... Tekno sio simu ya kuwaambia wanaume hapaa
 
Mbwembwe nyingi za ooh mi namiliki sijui sim nzuri mimi namiliki sijui nini,utakuta hata hiyo sim yenyewe kazi take ni kuchati na kutongezea hana dili za maana zaidi ya vibomu
 
Mbwembwe nyingi za ooh mi namiliki sijui sim nzuri mimi namiliki sijui nini,utakuta hata hiyo sim yenyewe kazi take ni kuchati na kutongezea hana dili za maana zaidi ya vibomu
 
Back
Top Bottom