Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

MediaTek ni kampuni ya kutengeneza chipset. Ukisikia octa core ni idadi ya processor ndani ya CPU, octa ni nane ukisikia quad ni nne. Kwahiyo CPU ikiwa na cores nyingi na performance inaongezeka zaidi.
Ndo mana naonaga octa core na quad core,nimeelewa sasa.
 
Nakupa mfano: mara ya mwisho nimenunua hii,... Redmi Note 7 4GB 64GB 48MP Cameras Snapdragon 660 Octa Core 6.3'' FHD+ QC 4.0 4000mAh Battery
TZS 479821.56
Sasa angalia ni jinsi gani hiyo Camon X Pro ilivyo ghali

Mi naimani siku zote tecno sio simu za bei rahisi ata kidogo ni dhana tu za watu na wasiofatilia mambo kusema ni simu za bei chee
 
Nakupa mfano: mara ya mwisho nimenunua hii,... Redmi Note 7 4GB 64GB 48MP Cameras Snapdragon 660 Octa Core 6.3'' FHD+ QC 4.0 4000mAh Battery
TZS 479821.56
Sasa angalia ni jinsi gani hiyo Camon X Pro ilivyo ghali
Hii Redmi umeinunua kwa njia gani mkuu?
 
Kuna hii kitu inaitwa tecno ca7 imesimama balaa,mwanzo nilikuwa nawaza kununua note 5 nilipokutana nayo aisee imenipunguzia mambo mengi sana,kuanzia gharama kwa huku imesimama laki tano na 30,ina ram 3gb,rom 32gb,camera 20mp inakaa na chaji kwa watumiaji wenye fujo....very nice phone ever,nakushauri kamauna uhitaji wa simu na unahela nunua hiyo simu,hautajutia....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli elimu sio mpka upite darasa kila la kheri boss
 
Hahahahahahhaa dah
Ukishasema tu ni Tecno basi...hizo simu hata uzisifieje ni hamna kitu,mchina ni mchina tu.Tecno yoyote duniani unaweza ukalala usiku na kukikucha ukakuta imetuma sms yenyewe kwa mama mkwe wako I love you,ndo utakapojua mama mkwe anajua kuongea au la.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Kuna hii kitu inaitwa tecno ca7 imesimama balaa,mwanzo nilikuwa nawaza kununua note 5 nilipokutana nayo aisee imenipunguzia mambo mengi sana,kuanzia gharama kwa huku imesimama laki tano na 30,ina ram 3gb,rom 32gb,camera 20mp inakaa na chaji kwa watumiaji wenye fujo....very nice phone ever,nakushauri kamauna uhitaji wa simu na unahela nunua hiyo simu,hautajutia....

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatokea Magu sehemu gani mkuu?
 
Tecno sio bei rahisi kama wengi wanavyozisema

Ukitaka kuamini nenda AliExpress kaangalie bei za smartphone kariba ya tecno kwa specification ,halafu linganisha bei
Lazima utakuta bei ya Tecno ni mara mbili zaidi
Tecno bhana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom