Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

400k

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app

Mbona hiyo budget kubwa mzee! Unapata simu yenye akili kukiko hata hizo Camon 11.
D1Ji5-oWkAETXBQ.jpeg
 
Natumia Tecno F3 ila kiukweli huu upuuzi unaoitwa tecno mwisho wake mwezi huu.

Wale niliokua nabishana nao mnisamehe. Tecno ni upuuzi.

Soon nahamia Redmi 7

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmoja wa watumiaji waaminifu wa Tecno unabwaga manyanga, kweli yamekufika kooni mkuu.

Sent using Samsung Galaxy
 
Mmoja wa watumiaji waaminifu wa Tecno unabwaga manyanga, kweli yamekufika kooni mkuu.

Sent using Samsung Galaxy
Kwa kweli mpaka unaona nimebwaga manyanga basi jua nimechoka[emoji23]

Yani tecno ni ile ti kujistiri ukiwa una hela, ila sio device za kutumia kwa kudumu.

Nimetumia P5, S5, Phantom Pad, w3, Wx3 na Sasa ni F3 yani zote ni ujinga ule ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hii kitu inaitwa tecno ca7 imesimama balaa,mwanzo nilikuwa nawaza kununua note 5 nilipokutana nayo aisee imenipunguzia mambo mengi sana,kuanzia gharama kwa huku imesimama laki tano na 30,ina ram 3gb,rom 32gb,camera 20mp inakaa na chaji kwa watumiaji wenye fujo....very nice phone ever,nakushauri kamauna uhitaji wa simu na unahela nunua hiyo simu,hautajutia....

Sent using Jamii Forums mobile app
ongeza ongeza nyama specification zake na kapicha kake pia kama inavutia.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom