Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

Mbona baadhi ya MTK nzuri tu, angalia simu za Oppo nyingi wanatumia MTK but ni zile zenye quality. Dhambi kubwa ya Tecno ni kuweka MTK za kawaida lakini ukitajiwa bei unaweza ukapata kiharusi.
Ila hii mzee tecno ca7 inajitahidi sana...nasema hivyo kwa kuzingatia brand na ukubwa wake...wamefika mahali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom