Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

Samsung hizi hizi ambapo ni lazima kutembea na powerbank kama kivuli chako na kama si hivyo basi betrii haina chaji na mawasiliano kwishne[emoji849][emoji848]
Tecno hua ni kwa ajili ya wanaojifunza kutumia simu wakishazoea na kujua sifa ya simu nzuri hua wanakuja huko kwny ma sumsung etc

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kuna hii simu Galaxy A10 nimeikuta Jumia inauzwa 320,000
Hebu ithaminisheni
Screenshot_20190411-162758_Chrome.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
IPS display

16 NM

Mediatek

Protection NEG glas

Camera sensor haijulikani

Fast charg 10w

Hiyo simu imepitwa karbia kila kitu na note 5
Tena note 5 ni ya 2015 ,hyo Tecno ni ya 2018, shame on Tecno

Tecno itabaki kua tecno tu mkuu



Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Kila niki linganisha Samsung na brand zingine bado naona ni ya kipekee Kwanzia display super amoled,features kibao simu kama note 3 note 4 ni za mda ila tecnology yake haichuji hata miaka 10 ijayo ndo upekee wa Samsung.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila niki linganisha Samsung na brand zingine bado naona ni ya kipekee Kwanzia display super amoled,features kibao simu kama note 3 note 4 ni za mda ila tecnology yake haichuji hata miaka 10 ijayo ndo upekee wa Samsung.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa tecno wanajifanya hawalijui hilo

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Wazee wa tecno wanajifanya hawalijui hilo

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Wana nishangaza laki 5 ananunua tecno ndani ya mwaka imechuja ameichoka. Wakati Samsung watu wana dumu nazo miaka 4 na bado anaipenda. Samsung wanatengeneza vitu vilivyo bora ata ukitoa pesa yako hujutii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hii kitu inaitwa tecno ca7 imesimama balaa,mwanzo nilikuwa nawaza kununua note 5 nilipokutana nayo aisee imenipunguzia mambo mengi sana,kuanzia gharama kwa huku imesimama laki tano na 30,ina ram 3gb,rom 32gb,camera 20mp inakaa na chaji kwa watumiaji wenye fujo....very nice phone ever,nakushauri kamauna uhitaji wa simu na unahela nunua hiyo simu,hautajutia....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Samsung ni Samsung haichuji. Note 5 toka 2015 bado ina fanya vizuri.Hiyo tecno baada ya mwaka imechuja.Ungepewa Samsung hiyo ukaenayo masaa tu ungebadili maamuzi yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli jf machoko wengi!!!!!! Mnaiponda tecno wakati 95% ya wana jf wanatumia tecno
Mmesahau kipindi kile cha "sent by using...(jina la simu) wengi waligundulika wana vitekno

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio vibaya kutumia tecno ila yeye amelinganisha tecno yake aliyonunua na note 5 yani hata note 3 hiyo tecno haifikii. Kama unajua vizuri ubora wa simu fanya comparisons utaona ametumia hela nyingi sana kwa simu ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli jf machoko wengi!!!!!! Mnaiponda tecno wakati 95% ya wana jf wanatumia tecno
Mmesahau kipindi kile cha "sent by using...(jina la simu) wengi waligundulika wana vitekno

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Teflon_Don
 
Back
Top Bottom