Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

Bei himilifu hapo ndy napataka useme ipoje
Katika soko kuna simu nyingi zenye specs kama hiyo lakini Xiaomi amezidisha features nyingi zaidi kwenye hardware na inabaki kuwa bei chini ukilinganisha wa na washindani wengine katika soko la simu janja. Kwa maana hiyo kila mtu mwenye kipato cha kati anaweza kuimiliki kutokana na unafuu wa bei.
 
Kuacha hao, vp kuhusu One plus huoni simu zao ni makin kam hii One plus 6T. Na bado may 14 wanatoa one plus 7 zenye tolea kadhaa hiv kwa kufanana brand

OnePlus hawatoi mid-range smartphone. Matoleo yake yote ni high-end, hata kwa upande wa bei zake si rahisi kama high-end za Xiaomi.
 
Oneplus 6T mbn siyo ghal kama ilivyotegemewa na weng mana ni mojawapo ya simu bomba lakin bei ni ya kawaida. Au ww bei himilifu unamanisha laki 6

Mie ndio nakwambia Honestty mara kwa mara huwa nawaagizia watu hizi simu zote,... OnePlus, Vivo, na Oppo bei zipo juu ukilinganisha ni high-end za Xiaomi. Angalia hiyo bei ya OnePlus 6t compare na Mi 8 utaona utofauti mkubwa wa bei uliopo.
 
Nimechek saiv iyo Mi 8 lite ipo vizur kidizain
 
Nimecheki zote saiv hadi hiyo Mi 9 ya Feb juz hapa.
Mi mpenz wa samsung sana, kat ya A9(2018) na S9 plus, which is which
Simu ya kuilinganisha na OnePlus 6 si Mi 8 Lite wala Mi 8 SE, coz zipo segment tofauti. Angalia Mi 8 au Mi 8 Pro ndio fananisha na OnePlus 6
 
Nimecheki zote saiv hadi hiyo Mi 9 ya Feb juz hapa.
Mi mpenz wa samsung sana, kat ya A9(2018) na S9 plus, which is which
S9 Plus ni high-end mkuu, so that ina performance kubwa kwenye kila idara kuliko hiyo A9 ambayo ni mid-range. Kama pesa inaruhusu chukua S9 Plus.

Kufananisha high-end na mid-range mfano wake ni sawa na kufananisha Toyota Land cruiser V8 na Toyota Rav 4
 
Ukimiliki mtwango kama huu si hatare sana utasumbua ww ??? !![emoji16][emoji16]kama unaimini simu yako weka dream league km haitastuck masaa yote afu nawe unasema ety una simu ???? My brother tecno phone ina maisha mafupi .View attachment 1079710
Fb 2
Whatsapp 2
Insta
Twitter
JF
Messenger...

Ivi huwa unapata muda wa kusoma hyo biblia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yap nikiwa mbali na bible lazima nisome ila nikiwa karibu na bible basi nakimbilia bible .. whatssap 2 nazitumia zote , moja magroup tu lingine kuchart na watu private na kwa namba tofauti na ya kwanza ..
 
Nakupa mfano: mara ya mwisho nimenunua hii,... Redmi Note 7 4GB 64GB 48MP Cameras Snapdragon 660 Octa Core 6.3'' FHD+ QC 4.0 4000mAh Battery
TZS 479821.56
Sasa angalia ni jinsi gani hiyo Camon X Pro ilivyo ghali
Lakin hukununua Tz mkuu. Hiyo bongo ungepigwa 900k
 
Back
Top Bottom