Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

Tecno CA7 ni kiboko ya simu nyingi

Hivi Unapozungumzia mediatek halafu na octa core ni kitu kimoja au tofauti!?

Sent using Jamii Forums mobile app
MediaTek ni kampuni ya kutengeneza chipset. Ukisikia octa core ni idadi ya processor ndani ya CPU, octa ni nane ukisikia quad ni nne. Kwahiyo CPU ikiwa na cores nyingi na performance inaongezeka zaidi.
 
Mtu anajifanya anatumia Simu ya gharama kumbe ana tecno tu,wengi tunaishi artificial life humu
Kwakweli...ila watu wameumbiwa midomo tuwaache wajitape inatusaidia kusonga mbele tunaoishi real life,unaposhindana na mtu fake wewe unafanya real na matokeo yanakuwa very real na ya faida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom