Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,745
- 2,338
Nina Mdogo wangu yuko chuo(jina nimeifadhi) baada ya kupokea hela ya field,research etc akapiga hesabu kile kiasi extra akakitenga na akatunza ili naye aje kumiliki Samsung S4 na Apple iPad
Basi katika pita pita yake mtaani akakutana na Samsung S4 used na sio clone na jamaa akamwabia kumuuzia 400,000/= basi jamaa akakubali simu ilikuwa katika Good condition kabisa tena ikiwa na charger yake na USB yake...Wakapanga wakutane siku fulani ili waweze kubidhiana hiyo mali basi dogo kailipia na kitu cha kwanza kaja kunitambia kuwa naye kashika S4 basi nikampa pongezi
Kumbe hiyo simu ilikuwa imeibiwa check kimbimbe chake sasa ikatokea simu moja kuna Manzi moja ikawa inamtumia message ikidai inasomea IFM inmfahamu dogo wangu na ingependa wakutane siku....check trick hiyo ya FBI vile kwa kuwa washamjua mwanachuo basi ikabidi waitumie jinsia ya kike itakayojidai mwanachuo ili waweze mkamata huyo dogorasi wangu...Siku waliyokuwa wamepanga ikafika na MANZI Ilimfuata chuo ile anatoka tu nje ya geti la chuo akakutana na hiyo mchuchu wakawa wanasogea ile wanaongea mara wakatokea POLICE wakamuuliza ONESHA SIMU yako simu akanyanganywa akapigwa Pingu akapelekwa Police kujibu mashitaka hiyo simu alitoa wapi...
Thank God aliachiliwa juzi tu hapa baada ya kunyea debe week moja kumbe in short hiyo simu walikuwa wanai-TRACK
:focus::focus: Sasa wataalamu wa simu emu tujezeni jamaani maana Mm smartphone zangu zimeibiwa nyingi tu ila hii technolojia ya ku-track simu sijajua unafanya je au Protocol gani unafuata maana DOGO kanambia leo hii mpaka na-post hii thread kuwa kuna mwingine alinunua Ipad tena dukani iliyo used na yeye amekamata akajitetea alinunua DUKA fulani huko kwao duka wanali-trace alisomeki tena linamilikiwa na mtu mwingine....Dogo mwingine wanasoma wote kaibiwa S3 lkn ameweza kuikamata tena huko Morogoro wakati imepotelea DAR
Sasa wakuu tusaidiane Ili Tuweze Ondokana na hili janga la wezi wa smartPhone....Protocol gani inafutwa I see maana kama sielewi kitu ninachoelezewa
SAMAHANI KWA SIASA NYINGI LKN HOPE NIMETENGENEZA SCENARIO ILI MUWEZE KUNIELEWA