Technolojia iliyotumika hapa

Technolojia iliyotumika hapa

kwenye samsung upande wa sittings>location &securty kuna 'sim change alert' ambayo uki tick hiyo option na ku signup kwenye samsung account utaweza. kuwa unapata taarifa endapo mtu anabadilisha sim card katika simu yako. hapo uta set na namba ambayo itakua ikipokea hizo. alerts. na kila alert inakuja na namba ya simu iliyowekwa katika simu yako. mpe pole dogo, nimependa trick ya huyo manzi
 
Mie niliibiwa nikaifutilia polisi..polisi wakanizingua...ila sasa nimeweka avast security phone...ndiyo naitegemea
 
AVG ina uwezo wa hata kumpiga picha na kuonyesha pahala kwa Android
 
ukiiba simu kama android ukipiga factory setting si rahisi kupatikana maana ni software tu inakua installed!!!
 
ukiiba simu kama android ukipiga factory setting si rahisi kupatikana maana ni software tu inakua installed!!!

we unajisemea hujui... app kama avg au eset inaprevent kufanya chochote...
 
wipe cache, wipe davlink cache, wipe data/factory reset, root and install CM10.2
 
apple wanakunasa ila hizi galaxies kama nilivyosema hapo zinachakachulika maana kila kitu unaweza badilisha kuanzia rom, hadi kubadili imei sijui watakushkia wapi

sasa mkuu nimegundua kuwa hizi app unaweza LOCK simu remotely hivo pindi ukiibiwa tu unai-lock hivo... hiyo process ya kubadili ROM sijui itaweza kuwa possible tena

point nyingine sasa ni app gani nzuri....eset au avg maana inaonesha avg haitumi namba ya simu bali serial number?
please help.....maana nimelizwa sana
 
sasa mkuu nimegundua kuwa hizi app unaweza LOCK simu remotely hivo pindi ukiibiwa tu unai-lock hivo... hiyo process ya kubadili ROM sijui itaweza kuwa possible tena

point nyingine sasa ni app gani nzuri....eset au avg maana inaonesha avg haitumi namba ya simu bali serial number?
please help.....maana nimelizwa sana

kulock vp? maana recovery mode unaingia hata simu ikiwa imelokiwa.

kuhusu hizo avg na esset sina uzoefu nazo maana situmii labda wanaotumia watatoa experience yao
 
sasa mkuu nimegundua kuwa hizi app unaweza LOCK simu remotely hivo pindi ukiibiwa tu unai-lock hivo... hiyo process ya kubadili ROM sijui itaweza kuwa possible tena

point nyingine sasa ni app gani nzuri....eset au avg maana inaonesha avg haitumi namba ya simu bali serial number?
please help.....maana nimelizwa sana

Kiboko yao ni Avast Mobile security, ina feature inaitwa Hard reset Proof hata hard reset haiiondoi
 
Hakuna cha software polisi wanafanya hiyo kitu unless uchange imei. Ila ukiflash nakutoa line utashikwa tu. Chamuhimu ukinunua simu hakikisha unamtambua aliye kuuzia tena na ushahidi wa polis
 

Kiboko yao ni Avast Mobile security, ina feature inaitwa Hard reset Proof hata hard reset haiiondoi

hard reset ndo nn kaka?
je mwizi akibadili line akaweka yake kwenye avast ntatumiwa simu yake?
note:situmii samsung maana wanayo hii feature ni full chinese gadgets natumia
 
hard reset ndo nn kaka?
je mwizi akibadili line akaweka yake kwenye avast ntatumiwa simu yake?
note:situmii samsung maana wanayo hii feature ni full chinese gadgets natumia

Simply Hard reseat ni kama ku format simu kuirudisha katika hali ya upya wake, ila hiyo hard reset proof inahitaji root access
swala la akibadili line unapata ujumbe bila wasi wasi, pia ina features nyingi sana unaweza set namba ambayo utakua unaitumia kui controll simu just unaitumia text yenye command na simu yako inarespond, bila kusahau unaweza monitor na ku control everything kutoka web ya avast
 
Mbona ziko nyingi sana app za dizaini hii...hata AVast mobile security wanayo na mimi ndo naitumia ambapo hata mtu akiformat simu yako bado unauwezo wa kuitrack kwa kutumia IMEI online, na kuna option nadhani ni kwa pro version hata simu isipokuwa connected online/internet bado inaweza i track kwa sms za kawaida..kuna ingine inaitwa droid lost kama sikosei nlishawahi itumia na zote ziko poa..

mm nataka ile inakupa namba ya simu mwizi na sio IMSI ya Chip
Nimetafuta Crack ya Eset mobile security sipati
Anyone to help chief-mkwawa C6 NingaR
 
mm nataka ile --------- namba ya simu na sio IMSI ya Chip
Nimetafuta Crack ya Eset mobile security sipati
Anyone to help chief-mkwawa C6 NingaR

tumia Avast Mobile Security + Avast Ant Theft ndio hua mimi natumia, zina leta Number,Location,Battery status na vingine vya muhimu
 
Last edited by a moderator:
Nina Mdogo wangu yuko chuo(jina nimeifadhi) baada ya kupokea hela ya field,research etc akapiga hesabu kile kiasi extra akakitenga na akatunza ili naye aje kumiliki Samsung S4 na Apple iPad
Basi katika pita pita yake mtaani akakutana na Samsung S4 used na sio clone na jamaa akamwabia kumuuzia 400,000/= basi jamaa akakubali simu ilikuwa katika Good condition kabisa tena ikiwa na charger yake na USB yake...Wakapanga wakutane siku fulani ili waweze kubidhiana hiyo mali basi dogo kailipia na kitu cha kwanza kaja kunitambia kuwa naye kashika S4 basi nikampa pongezi

Kumbe hiyo simu ilikuwa imeibiwa check kimbimbe chake sasa ikatokea simu moja kuna Manzi moja ikawa inamtumia message ikidai inasomea IFM inmfahamu dogo wangu na ingependa wakutane siku....check trick hiyo ya FBI vile kwa kuwa washamjua mwanachuo basi ikabidi waitumie jinsia ya kike itakayojidai mwanachuo ili waweze mkamata huyo dogorasi wangu...Siku waliyokuwa wamepanga ikafika na MANZI Ilimfuata chuo ile anatoka tu nje ya geti la chuo akakutana na hiyo mchuchu wakawa wanasogea ile wanaongea mara wakatokea POLICE wakamuuliza ONESHA SIMU yako simu akanyanganywa akapigwa Pingu akapelekwa Police kujibu mashitaka hiyo simu alitoa wapi...
Thank God aliachiliwa juzi tu hapa baada ya kunyea debe week moja kumbe in short hiyo simu walikuwa wanai-TRACK

:focus::focus: Sasa wataalamu wa simu emu tujezeni jamaani maana Mm smartphone zangu zimeibiwa nyingi tu ila hii technolojia ya ku-track simu sijajua unafanya je au Protocol gani unafuata maana DOGO kanambia leo hii mpaka na-post hii thread kuwa kuna mwingine alinunua Ipad tena dukani iliyo used na yeye amekamata akajitetea alinunua DUKA fulani huko kwao duka wanali-trace alisomeki tena linamilikiwa na mtu mwingine....Dogo mwingine wanasoma wote kaibiwa S3 lkn ameweza kuikamata tena huko Morogoro wakati imepotelea DAR
Sasa wakuu tusaidiane Ili Tuweze Ondokana na hili janga la wezi wa smartPhone....Protocol gani inafutwa I see maana kama sielewi kitu ninachoelezewa

SAMAHANI KWA SIASA NYINGI LKN HOPE NIMETENGENEZA SCENARIO ILI MUWEZE KUNIELEWA
kama wewe ni mtumiaji wa iPad, iPod na iPhone unaweza kufanya steps zifuatazo ili kusecure device yako (kulingana na version ya IOS iliyopo kwenye simu yako)..

kwa IOS 6 or earlier

Instal 'Find My iPhone' app, link na icloud service alafu enable restrictions kupitia settings ya simu yako.

iphone_restriction.jpg
iphone_restriction_2.jpg


ukiEnable restrictions utaweza kuRestrict unInstalation ya program yoyote kwenye simu yako, restriction ya kuSign out Apple ID yako au account yoyote, restriction ya kuzima locations service 'GPS', hivyo kama mtu akiiba simu na akafanikiwa kubadilisha line utaweza

Screenshot_iOS42_RestrictionsScreen_112210.jpg
Screenshot_iOS42_RestrictionsScreenEmail_112210.jpg


kuiTrack kupitia icloud service kwenye computer au find my iphone app kwenye apple device nyingine. weakness yake ni kwamba huyo mwizi akiRestore basi kila kitu kitafutika na hautaweza kuitrack. unaweza usiweke keylock au security lock ili huyo mwizi aweze kuitumia simu na kubadilisha line tu ili asishawishike kuiRestore ili aBypass passcode. ikiwa hivyo utaweza kuitrack simu yako.

find-my-iphone-foun-100004793-large.png


kwa IOS 7

IOS 7 wameImprove kidogo usalama wa simu yako. kama uliLink simu yako na iCloud kabla haijaibiwa, then ilivyoibiwa ukaireport/flag as stolen 'lost mode', basi huyo mwizi hata akaflashi/Restore vipi hawezi kupita Activation screen. itakuwa inamdai aweke Apple ID iliyokuwa kwenye simu kabla haijaibiwa. kwahiyo hataweza kuitumia simu asipoweza kufanya activation. hii feature mpya inasaidia sana watumiaji wa bidhaa za apple.

activation-lock.png
 
tumia Avast Mobile Security + Avast Ant Theft ndio hua mimi natumia, zina leta Number,Location,Battery status na vingine vya muhimu

bila bila kitu haitumi hizo notification
sijui mm version gani hii inazingua
 
Mkuu nimeweka anti-theft rooted sio kwamba niliweka avast tu
sasa kitu ambacho sielewi nini kinaitajika ili line iliyowekwa itume Hizo notification...ni internet au sms plan ktk line iliyowekwa?

kwanza inatakiwa kua enabled, pili SMS inahitaji SMS PLAN tu, pia unaweza track kwa web ya avast hii inahitaji internet kuweza kutuma commands
 
Back
Top Bottom