Wanaume tuliowahi kukimbia wanawake kwenye kumbi za starehe kwa kuhofia gharama kubwa tukutane hapa

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,789
Nikiwa kidato Cha sita nilikutana na manzi mmoja mrembo kweli kweli katika story za hapa na pale mwamba nilifanikiwa kuchukua namba za simu

Nilianza kuzoza zoza (kurusha mistari tongozo) lakini Yule mtoto wa kike sikumwambia kabisa Kama Mimi nipo high school but nilijitambulisha kuwa nipo chuo mwaka wa pili hapo UDSM.

Nilimdanganya mno na kufikia hatua mpaka akakubali niwe mpenzi wake Tena kwa moyo mkunjufu kuwa amekubali kuwa na NALIA NGWENA bila ya kificho chochote na kuniahidi kuwa hatonitenda mpaka kifo.

Aliponiuliza kuhusu nahitaji yake kwamba nitamtimizia vipi?
Mwamba bila kupepesa macho nilimjibu "usiwe na mashaka sisi wanachuo huwa tunasoma huku tunalipwa "

Yule binti aliniamini sana Tena sana.

Siku moja tulipanga tukutane walau tutulie sehemu tupange mikakati yetu, mwamba NALIA NGWENA nilichomoka hostel, Yule mtoto alikua anaishi Gongolamboto.

Alinipa maelekezo vizuri tu, mpaka nikafanikiwa kufika alipo nakumbuka mfukoni nilikua Nina kitambulisho tu na shilingi elfu Saba na Mia tano (7500) hiyo nilikua nimejibana mno hata usafiri nilipanda daladala kwa kutumia kitambulisho Changu mwanafunzi kwa hiyo nilitoa Mia mbili (200).

Basi tulifika kwenye bar Fulani pale Kuna vinywaji na vyakula pale.
Mtoto aliagiza chipsi yai na soda, Mimi niliagiza maji madogo huku nikipiga hesabu mfukoni.

Mara ghafla walikuja Mara fiki zake wawili katika kupiga story na kutambulishwa pale na wao bila ya aibu nilishangaa eti wanaagiza kwa moyo mmoja Kama alivyoagiza rafiki yao.

Kichwa kiliniuma kwa sekunde lakini mwamba nilipata jibu pale pale namna gani niwatoke.

Basi bhana! Nikichokifanya nilimuuliza Yule manzi wangu wapi Kuna kibanda Cha tigo pesa nikafanye muamala?? Aliniambia pale.

Nilienda mpaka kwenye kile kibanda niliulizia kitu kingine kabisa ambacho walikua hawana halafu nilirudi kwa wale manzi nikawaambia kuwa pale hawana foat tigo pesa ni wapi kwengine wanioneshe.

Walinionesha sehemu nyingine ya kukata Kona na Mimi nilielekea huko nilitokomea moja kwa moja na nilizima na simu nilipofika hostel nilichukua vitabu vyangu nililielekea class kupiga msuli.

Mpaka Sasa sijui Nini kiliendelea/kuwatokea hao wadada niliowaacha sambamba na Yule manzi maana sikupokea namba mpya kabisa.

Tuambie na wewe ilikutokeaje/ilikuaje na ulisolve vipi msala ???
 
Ulitumia akili mkali. Ukiitwa date njoo mwenyewe
 
Kwa thread hii HAPANA nimeghairi
[mention]Amdala [/mention] umeona mtu anayesema kibunda kipo
 
Back
Top Bottom