Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
- Thread starter
- #41
kwanza inatakiwa kua enabled, pili SMS inahitaji SMS PLAN tu, pia unaweza track kwa web ya avast hii inahitaji internet kuweza kutuma commands
Finally nimefanikiwa mkuu kitu inapiga siren mwanzo mwisho na ukijaribu kuzima inakataa na ukijaribu fanya Factory reset ya ku-press home+shut down+volume up kitu no response
point nyingine nimeona kwamba ukiflash ukaweka CYANOGEN ROMS basi umemaliza kazi ya hizi Antitheft lkn mm hata ile Option ya SETTINGS nimedisable ntaenable pale napotaka kuitumia
Leo ndo nimeshtuka kufanya hii kitu kwa devices zangu maana JANA chalii wangu kaibiwa S4 clone pale Kariakoo na unfortunately nilikuwa sija mpa hii elimu probably angeweza kuipata hiyo phone yake
Kweli Avast ni watu wa ukweli nimewapenda...sasa je hii ya HARD RESET jembe inamaanisha hata mwizi akifanikiwa kufanya factory reset bado uwezekano wa kum-track utakuwepo?
Hii Thread na hisi ni Fundisho zuri sana kwa wale wanaoibiwa simu maana watu wengi na mm nikiwemo bado wako-ignorant na hii issue