Tayari wazee wa chama ikiwemo Mangula na wengineo wamepanga tayari mgombea wao.
Mzee Mkapa, Mzee Mwinyi na Karume wamepanga huyo ndiye awe.
Tayari wafadhili wanao aminika na chama wameamua huyo ndiye awe.
Tayari kinachoitwa 'system' wameamua huyo ndiye awe.
Tayari jamii za kimataifa zimeamua huyo ndiye awe.
Ila bado tu Watanzania walio wengi kuamua. Ila ieleweke, pamoja na mapenzi makubwa Watanzania waliyonayo kwa Lowassa, CCM imeamua vinginevyo.
Mgombea Urais Kupitia CCM 2015 ni Makongoro Nyerere. Confirmed.
UKAWA Jipangeni kivingine. Ile furaha yenu ya muda mfupi imekwisha ghafla.
Huu ndio ukweli mchungu CCM ni Makongoro Nyerere,Lowassa asipoteze muda,fedha na pengine ni vyema akaitunza afya yake asije akakumbwa na magonjwa ya shinikizo la damu.Lowassa hajawahi wala hatatokezea akawa kipenzi cha watanzania.
Makongoro ni project ya viongozi wa EA hasa Museveni anayetaka kumwachia nchi Brigedia Muhonzi anajua Makongoro akifanikiwa huku Tanzania atakuwa na chakuwaambia waganda watazame Tanzania na Kenya wamefanya nini.UKAWA mjipange sana jina la Nyerere kubwa linaweza kuwaadaa waTanzania wengi.
Hammy leo umekuwa mpole sana sijawahi kukuona katika uzi ukiwa hivi. Pole sana sana!
Laiti ungalijua!.Habari hii imfikie Pasco
....Vincent Nyerere ni zaidi ya Makongoro Nyerere
Yaani huyu makongoro chapombee aje awe rais sababu ya jina la baba yake ??? Haitakaa itokee. Kwanza ananini acha kuonyesha alichowafanyia watanzania ?? Ubunge wa arusha tu ulimshinda ndio aje kuwa rais ?
Kilichomfanya Charles Nyerere kurudi CCM ni nini wakati baba yake alisema CCM sio mama yake na yamkini angekuwa hai leo angeisha jiondokea? Hatutaki wine ya zamani kwenye chupa mpya, tunataka wine mpya kwenye chupa mpya.
Tayari wazee wa chama ikiwemo Mangula na wengineo wamepanga tayari mgombea wao.
Mzee Mkapa, Mzee Mwinyi na Karume wamepanga huyo ndiye awe.
Tayari wafadhili wanao aminika na chama wameamua huyo ndiye awe.
Tayari kinachoitwa 'system' wameamua huyo ndiye awe.
Tayari jamii za kimataifa zimeamua huyo ndiye awe.
Ila bado tu Watanzania walio wengi kuamua. Ila ieleweke, pamoja na mapenzi makubwa Watanzania waliyonayo kwa Lowassa, CCM imeamua vinginevyo.
Mgombea Urais Kupitia CCM 2015 ni Makongoro Nyerere. Confirmed.
UKAWA Jipangeni kivingine. Ile furaha yenu ya muda mfupi imekwisha ghafla.
Akili kama mwakembe vile.ubongo uliojaa pollonium.Tafadhali sana, tena saana tu, usitujumulishe watanzania wote katika uzuzu wako huo, mapenzi yako na EL kanywe naye chai! kama hukuwa na uwezo wa kusoma alama za nyakati, huo ni uzuzu wako wewe, Edward hana nafasi katika Ikulu ya magogoni, laana ya Mwalimu lazima imtafune tu! Ikulu kuna biashara gani mtu anatumiatumia vipesa kuwahonga watu?! Atazirudishaje?!
Kubwa zaidi; yatakuwa ni matusi makubwa sana kwa chama tawala na watanzania kwa ujumla kumruhusu Edward kuwa mpangaji wa Ikulu ya Magogoni. Liwe liwalo, Edward Apigwe tu; (Piga Tu!!) kule Bukoba kwangu na mie wanasema; Edward ATELWE ATAE!! period.
Makongoro ana nini hasa cha kuwatoa UKAWA katika msitari?????
Sio km naogopa ila naongelea fact ndugu yangu watanzania wengi bado sana then jina la Nyerere still lina sound masikioni mwa watanzania wengi,hii ni karata dume kwa magamba...mark my word!!
Tayari wazee wa chama ikiwemo Mangula na wengineo wamepanga tayari mgombea wao.
Mzee Mkapa, Mzee Mwinyi na Karume wamepanga huyo ndiye awe.
Tayari wafadhili wanao aminika na chama wameamua huyo ndiye awe.
Tayari kinachoitwa 'system' wameamua huyo ndiye awe.
Tayari jamii za kimataifa zimeamua huyo ndiye awe.
Ila bado tu Watanzania walio wengi kuamua. Ila ieleweke, pamoja na mapenzi makubwa Watanzania waliyonayo kwa Lowassa, CCM imeamua vinginevyo.
Mgombea Urais Kupitia CCM 2015 ni Makongoro Nyerere. Confirmed.
UKAWA Jipangeni kivingine. Ile furaha yenu ya muda mfupi imekwisha ghafla.
Uchambuzi wa aina yako huwa unaniacha hoi kwelikweli. Huwa mnabeba maneno hapa jf halafu mnayaedit kujifanya na nyie mnajua kuchambua. Unasema upinzani hauna sera, ni kweli, hebu tuambie ccm inashinda kwa sera ipi na hao wapinzani wanakosa sera zipi kwa mfano wananchi wangewaelewa? Watanzania walio wengi hawajui maana ya sera na kwa taarifa yako huwa hawachagui kwa kuangalia sera bali umaarufu wa mtu, mazoea na rushwa kiasi gani wanapata toka kwa mgombea. Kama ccm ingekuwa inashinda kwa sera kwanini waishie kuhonga, kutumia tume ya uchaguzi kutangazwa washindi? Nguvu kubwa kubwa inayotumika na jeshi la polisi kuibeba ccm ndio sera unazojinadi nazo hapa?
UKAWA wanajitoa ufahamu kama hilo nalo hawalitaki.
Huu utitiri wa wagombea ulikuwa mpango mkakati wa wazee wa chama ili kuonekane kama kuna ushindani mkubwa na pia ili iwe rahisi kufutilia mbali jina tishio la Lowassa.
Hatuna chetu.