Umenifurahisha mkuu jipangeni kumchafua huyu nyie siwazee wa porojoki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.
Akili kama mwakembe vile.ubongo uliojaa pollonium.
nikiwemo mimi. Hata kama makongongoro ni kilaza nitampa kura yanguSio km naogopa ila naongelea fact ndugu yangu watanzania wengi bado sana then jina la Nyerere still lina sound masikioni mwa watanzania wengi,hii ni karata dume kwa magamba...mark my word!!
Tayari wazee wa chama ikiwemo Mangula na wengineo wamepanga tayari mgombea wao.
Mzee Mkapa, Mzee Mwinyi na Karume wamepanga huyo ndiye awe.
Tayari wafadhili wanao aminika na chama wameamua huyo ndiye awe.
Tayari kinachoitwa 'system' wameamua huyo ndiye awe.
Tayari jamii za kimataifa zimeamua huyo ndiye awe.
Ila bado tu Watanzania walio wengi kuamua. Ila ieleweke, pamoja na mapenzi makubwa Watanzania waliyonayo kwa Lowassa, CCM imeamua vinginevyo.
Mgombea Urais Kupitia CCM 2015 ni Makongoro Nyerere. Confirmed.
UKAWA Jipangeni kivingine. Ile furaha yenu ya muda mfupi imekwisha ghafla.
ki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.

hahaa,kweli mkuu watadhani wanampigia Nyerere kumbe......majangaki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.
lowasa akikatwa hakuna namna nyingie naamia upinzani ccm sio mama yangu
ki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.
Kwa tarifa yako usithubutu kumbeza makongoro ni kitu kingine hicho ukawa kule hakuna kiongozi hata mmoja wa kusimama na makongoro watatupwa mapema sana.Mbona me naona kama ndio Ukawa wanaingia ukulu..mhh hakya Mungu Lowasa ndie tishio kabiiiisa hawa wengine hamna kitu wa tz wanakaakili kidogo.Habari njema saaana kama ni kweli.
Leo nimecheka sana,
kunajaa zangu nawajua kwenye hii mada wanachungulia kwa mbali wana like halafu wanakimbia,
kweli makongoro kiboko ya mafisadi kazi inaanza kijana anafaa kuongoza.
Kwa tarifa yako usithubutu kumbeza makongoro ni kitu kingine hicho ukawa kule hakuna kiongozi hata mmoja wa kusimama na makongoro watatupwa mapema sana.