Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
ki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.
Tatizo vijana wengi mnaingia kwenye siasa kwa uoga,watanzania wa sasa wameshaichoka ccm,hata akigombea malaika kwa sasa ccm imeshapitwa na basi lielekealo ikulu,na kwa taarifa yako ccm wamepanga kumpitisha dr shein awe mgombea urais,ndiyo maana Jana Ally karume katangaza kugombea.kama una macho tazama hii movie