Ngoja na mimi nishawishi familia yangu tumchague makongoro.Mimi na familia yangu makongoro
ki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.
1.Taja mapungufu ya MAKONGORO na kisha tutajie mgombea chaguo lako tuwalinganishe
2.ufalme kivipi????? kwani anafalmishwa urais wa baba yake?????wamepita marais wangapi tokea baba yake
3.Unapomkataa MAKONGORO toa mmbadala wake/mtaje umdhaniye anafaa (ndani ya CCM)
Mungu ndiye ajuaye Rais wa Watanzania. Iwe Makongoro sawa. Ila kwa fisadi Lowasa haitakuwa sawa na Mungu anatuona na anajua nini tunahitaji
Watanzania walio wengi bado sana mkuu kwa hili jina tu la Nyerere ccm watapata pa kusimamia.
nikiwemo mimi. Hata kama makongongoro ni kilaza nitampa kura yangu
hivi lohasa yale mamilioni anayotumi kununua watu atayarudishaje? ccm mnataka kumchanganya lowasa.
ki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.
Sio km naogopa ila naongelea fact ndugu yangu watanzania wengi bado sana then jina la Nyerere still lina sound masikioni mwa watanzania wengi,hii ni karata dume kwa magamba...mark my word!!
Kabisa! Mimi na mafisadi ni kama ardhi na mawingukwel hujui nin cha kufanya ww. yaan jina 2 ndo limeteka akili yako.?
Mimi nafikir Lowassa Ana nafasi kubwa lakini in the event kuwa wana ccm wanaamua kuachana na siasa za visasi za wanamtandao na kwa namna Lowassa alivyo na nguvu ..Mgombea atakayeweza kukabiliana na hasira za Lowassa ni Makongoro
Lowassa haepukiki lakini huwezi kumkata ukampitisha yeyote Zaidi ya Makongoro na ukategemea ccm ishinde ...Huyu Ana charisma na nyota
http://www.youtube.com/watch?v=zF7mXjg6dHw