warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,455
Tanzania kama Tanzania, hakuna upinzani wa ukweli, hakuna cha hao UKAWA au nani sijui, maana ukiviangalia vizuri hivyo vyama vya upinzani vinaendeshwa kwa matukio, hawana sera za kueleweka utakuta tukio fulani likitokea, basi wamelishikilia, likiisha wanakaa kimya likitokea tukio lingine basi wanalishupalia hivyo hivyo reference mgomo wa madereva wa mabasi, katiba mpya, etc etc yani Tanzania hakuna upinzani bado, ni unafiki kwenda mbele na uchu wa madaraka
Mtazamo wako