Tayari wazee wa chama ikiwemo Mangula na wengineo wamepanga tayari mgombea wao.
Mzee Mkapa, Mzee Mwinyi na Karume wamepanga huyo ndiye awe.
Tayari wafadhili wanao aminika na chama wameamua huyo ndiye awe.
Tayari kinachoitwa 'system' wameamua huyo ndiye awe.
Tayari jamii za kimataifa zimeamua huyo ndiye awe.
Ila bado tu Watanzania walio wengi kuamua. Ila ieleweke, pamoja na mapenzi makubwa Watanzania waliyonayo kwa Lowassa, CCM imeamua vinginevyo.
Mgombea Urais Kupitia CCM 2015 ni Makongoro Nyerere. Confirmed.
UKAWA Jipangeni kivingine. Ile furaha yenu ya muda mfupi imekwisha ghafla.
Mungu ndiye ajuaye Rais wa Watanzania. Iwe Makongoro sawa. Ila kwa fisadi Lowasa haitakuwa sawa na Mungu anatuona na anajua nini tunahitajimakongoro yupo vizuri Hana kashfa
Si kweli kwamba wanarithishana. Demokrasia inatamalaki. Mtu anashinda kwa sifa zakeJamani chondechonde hizi siasa za kuridhiana kwa watoto jamani zifike kikomo sasa maana ni balaa katika bara hili la africa
Makongoro ana nini hasa cha kuwatoa UKAWA katika msitari?????
Mkuu,
Sio uzushi, na sijasema Mkapa Alikuwepo. Kuwa muelewa.
Haya mambo yalikuwa 'behind the scene' ila sasa yamedhihirishwa na hao wazee kuwa wapo upande upi.
Ushauri wao ni kwamba: Makongoro ataunganisha wana CCM ambao kwa mujibu wa maelezo yao, CCM kwa sasa imejaa nyufa.
Tanzania kama Tanzania, hakuna upinzani wa ukweli, hakuna cha hao UKAWA au nani sijui, maana ukiviangalia vizuri hivyo vyama vya upinzani vinaendeshwa kwa matukio, hawana sera za kueleweka utakuta tukio fulani likitokea, basi wamelishikilia, likiisha wanakaa kimya likitokea tukio lingine basi wanalishupalia hivyo hivyo reference mgomo wa madereva wa mabasi, katiba mpya, etc etc yani Tanzania hakuna upinzani bado, ni unafiki kwenda mbele na uchu wa madaraka
tatizo la kupiga viroba asubuhi ndio hili
Tayari wazee wa chama ikiwemo Mangula na wengineo wamepanga tayari mgombea wao.
Mzee Mkapa, Mzee Mwinyi na Karume wamepanga huyo ndiye awe.
Tayari wafadhili wanao aminika na chama wameamua huyo ndiye awe.
Tayari kinachoitwa 'system' wameamua huyo ndiye awe.
Tayari jamii za kimataifa zimeamua huyo ndiye awe.
Ila bado tu Watanzania walio wengi kuamua. Ila ieleweke, pamoja na mapenzi makubwa Watanzania waliyonayo kwa Lowassa, CCM imeamua vinginevyo.
Mgombea Urais Kupitia CCM 2015 ni Makongoro Nyerere. Confirmed.
UKAWA Jipangeni kivingine. Ile furaha yenu ya muda mfupi imekwisha ghafla.
Jamani chondechonde hizi siasa za kuridhiana kwa watoto jamani zifike kikomo sasa maana ni balaa katika bara hili la africa