GEBA2013
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 5,963
- 8,499
Mkuu,
Sio uzushi, na sijasema Mkapa Alikuwepo. Kuwa muelewa.
Haya mambo yalikuwa 'behind the scene' ila sasa yamedhihirishwa na hao wazee kuwa wapo upande upi.
Ushauri wao ni kwamba: Makongoro ataunganisha wana CCM ambao kwa mujibu wa maelezo yao, CCM kwa sasa imejaa nyufa.
HUWA NIKIONA POST ZAKO NAKEREKA KWANI ULIKUWA HUJUI HLO AU?CCM WOTE HAWAFAI HATA HUYO KONGORO NYERERE PIA NI WALAWALE SBB ATAINGZWA NA SYTEM ILEILE YAKINA MAFISADI KWA MASLAHI YAO.mda umefikga wa mabidiliko vote 4 ukawa kwa maslahi mapana ya nchi yetu ya neema na utajiri wa kila aina.