tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,054
- 16,509
lowasa akikatwa hakuna namna nyingie naamia upinzani ccm sio mama yangu
alyekuambia kuwa upinzani ndio wanaohitaji wezi wa mali za umma ni nani?

Captain Makongoro akipitishwa Dr Slaa atashinda kiurahisi!
...Tayari wazee wa chama ikiwemo Mangula na wengineo wamepanga tayari mgombea wao.
...Mzee Mkapa, Mzee Mwinyi na Karume wamepanga huyo ndiye awe.
...Tayari wafadhili wanao aminika na chama wameamua huyo ndiye awe.
...Tayari kinachoitwa 'system' wameamua huyo ndiye awe.
...Tayari jamii za kimataifa zimeamua huyo ndiye awe.
...Ila bado tu Watanzania walio wengi kuamua. Ila ieleweke, pamoja na mapenzi makubwa Watanzania waliyonayo kwa Lowassa, CCM imeamua vinginevyo.
...Mgombea Urais Kupitia CCM 2015 ni Makongoro Nyerere. Confirmed...
UKAWA Jipangeni kivingine. Ile furaha yenu ya muda mfupi imekwisha ghafla.
alyekuambia kuwa upinzani ndio wanaohitaji wezi wa mali za umma ni nani?
ki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.
Huyo jamaa hana jipya sana zaidi ya kutojulikana. Ila mimi nadhani watanzania kuna haja ya kufanya maamuzi sahihi. Makongoro aka chapombe hafai kabisa.
Sio km naogopa ila naongelea fact ndugu yangu watanzania wengi bado sana then jina la Nyerere still lina sound masikioni mwa watanzania wengi,hii ni karata dume kwa magamba...mark my word!!
Why mkuu?
Hivi watanzania au UKAWA wana ugomvi na mtu? Chama?
UKAWA wanajitoa ufahamu kama hilo nalo hawalitaki.
Huu utitiri wa wagombea ulikuwa mpango mkakati wa wazee wa chama ili kuonekane kama kuna ushindani mkubwa na pia ili iwe rahisi kuyafutilia mbali jina tishio la Lowassa.
Hatuna chetu.
We una onaje?
Hatuchagui kivuli bali tunamchagua mtu. Waswahili husema heri shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua
...Tayari wazee wa chama ikiwemo Mangula na wengineo wamepanga tayari mgombea wao.
...Mzee Mkapa, Mzee Mwinyi na Karume wamepanga huyo ndiye awe.
...Tayari wafadhili wanao aminika na chama wameamua huyo ndiye awe.
...Tayari kinachoitwa 'system' wameamua huyo ndiye awe.
...Tayari jamii za kimataifa zimeamua huyo ndiye awe.
...Ila bado tu Watanzania walio wengi kuamua. Ila ieleweke, pamoja na mapenzi makubwa Watanzania waliyonayo kwa Lowassa, CCM imeamua vinginevyo.
...Mgombea Urais Kupitia CCM 2015 ni Makongoro Nyerere. Confirmed...
UKAWA Jipangeni kivingine. Ile furaha yenu ya muda mfupi imekwisha ghafla.
Mi nadhani wana ugomvi na chama au mfumo maana siku zote nawasikia wakisema maC.M wamatufikisha hapa hawamtaji mtu