TeamLowassa hatuna chetu Ikulu!

TeamLowassa hatuna chetu Ikulu!

Ccm wakimuweka Makongoro kama mgombea wao nitakuwa neutral. Kura yangu nitawapa ukawa lakini hatakama akishinda mgombea wa ccm bado sitahuzunika kwavile wote watakuwa kipenzi cha moyo wanaweza kuleta mabadiliko katika nchi

Mtu anayewekwa na watu Fulani kwa minajili ya kukinga hao waliomuweka leo hii unasema ataleta mabadiliko kwako?
No way.
 
hHAHAHHAA hatimae mmekubali kuwa CCM imemeguka vipande vipande, mmekataaaa, mmebanaaaa sasa mmeachia! That is very good. lusungo MANI zumbemkuu BAK tpaul
Mkuu,

Sio uzushi, na sijasema Mkapa Alikuwepo. Kuwa muelewa.

Haya mambo yalikuwa 'behind the scene' ila sasa yamedhihirishwa na hao wazee kuwa wapo upande upi.

Ushauri wao ni kwamba: Makongoro ataunganisha wana CCM ambao kwa mujibu wa maelezo yao, CCM kwa sasa imejaa nyufa.
 
Last edited by a moderator:
obama naskia alikua anakula ganja na uhuru kenyatta pia naskia anakula kitu cha R.

Mkapa alikuwa analewa hadi anaanguka ...Sikukuu Wazee wa Usalama wanamfuata pale Upanga Club ...kumpeleka Msasani akakutane na Wazee wa Chama kumueleza kuwa yeye Ndio chaguo Lao urais ...alikuwa amelewa chakari ....na akaaza kulia Kama mtoto akijua labda kaharibu ...na akiona Aibu kupelekwa kwa Mwalimu Hali kalewa

Viongozi Wengi ni walevi na wamekiri kuvuta Bangi......, kuna uhusiano pia mkubwa Kati ya charisma na kupendwa na mabibi .....Ndio Maana wanasisasa wengi Kama Clinton ,Blair ,Etc wamekiri hayo ..bila kumtaja Kikwete ..

Lowassa ambaye Ana nafasi kubwa Zaidi ya makongoro kuwa rais ...naye alikuwa Mlevi wa kulala baa ...kaacha mwaka 2008 baada ya kupata mild attack ...ambayo ame rocover baada ya kuachana na pombe ....
Uhuru Kenyatta ...karibuni kijana anayempelekea cha Arusha alikamatwa ikulu ...ikabidi wafunike .... Na Huyu ...alikuwa analewa hadi anabebwa kupelekwa nyumbani na marafiki na wana usalama kwa heshima ya baba yake ..,hadi mkewe analia ...lakini wote hawa vichwani ni wembe

George bush jr alipitia mapito ya kuwa coccaine addict hadi akawa " mrombo " mkewe akataka kukimbia likichomsaidia ni kuokoka ....na baadaye bush akapelekwa rehabilitation akapona ....mtoto wa bush aliyetegemewa kuwa rais ni Jeb Bush .......George hata baba yake alishamkatia Tamaa
 
Mtoa mada hebu fafanua vizuri ina maana unafurahia makongoro kuiwakilisha CCM au umechukia? mbona unawabeza UKAWA wanahusikaje kwa kuondoshwa fisadi lowasa na makongoro kupewa nafasi?
 
  • Thanks
Reactions: Pai
Mkapa alikuwa analewa hadi anaanguka ...Sikukuu Wazee wa Usalama wanamfuata pale Upanga Club ...kumpeleka Msasani akakutane na Wazee wa Chama kumueleza kuwa yeye Ndio chaguo Lao urais ...alikuwa amelewa chakari ....na akaaza kulia Kama mtoto akijua labda kaharibu ...na akiona Aibu kupelekwa kwa Mwalimu Hali kalewa

Viongozi Wengi ni walevi na wamekiri kuvuta Bangi......, kuna uhusiano pia mkubwa Kati ya charisma na kupendwa na mabibi .....Ndio Maana wanasisasa wengi Kama Clinton ,Blair ,Etc wamekiri hayo ..bila kumtaja Kikwete ..

Lowassa ambaye Ana nafasi kubwa Zaidi ya makongoro kuwa rais ...naye alikuwa Mlevi wa kulala baa ...kaacha mwaka 2008 baada ya kupata mild attack ...ambayo ame rocover baada ya kuachana na pombe ....
Uhuru Kenyatta ...karibuni kijana anayempelekea cha Arusha alikamatwa ikulu ...ikabidi wafunike .... Na Huyu ...alikuwa analewa hadi anabebwa kupelekwa nyumbani na marafiki na wana usalama kwa heshima ya baba yake ..,hadi mkewe analia ...lakini wote hawa vichwani ni wembe

George bush jr alipitia mapito ya kuwa coccaine addict hadi akawa " mrombo " mkewe akataka kukimbia likichomsaidia ni kuokoka ....na baadaye bush akapelekwa rehabilitation akapona ....mtoto wa bush aliyetegemewa kuwa rais ni Jeb Bush .......George hata baba yake alishamkatia Tamaa

Unaweza ukawa hauko vizuri kichwani lkn miongozo, kanuni na mipango iliyopo + waliokuzunguka ikiwa/wakiwa makini na sahihi
hata wewe utanyooka na kufanya yaliyo sahihi lkn ukiwekwa na wahuni na ukazungukwa na wahuni hata maamuzi yako yatakuwa ya kihuni.

Makongoro hatakuwa na say yoyote zaidi ya kuongozwa na wahuni wapiga deal.

Chukua mfano kwa Jei.
 
CCM ni ukoo wa panya, hakuna hata mmoja wa kupambana na CHADEMA,
 
Huu ndio ukweli mchungu CCM ni Makongoro Nyerere,Lowassa asipoteze muda,fedha na pengine ni vyema akaitunza afya yake asije akakumbwa na magonjwa ya shinikizo la damu.Lowassa hajawahi wala hatatokezea akawa kipenzi cha watanzania.

Makongoro ni project ya viongozi wa EA hasa Museveni anayetaka kumwachia nchi Brigedia Muhonzi anajua Makongoro akifanikiwa huku Tanzania atakuwa na chakuwaambia waganda watazame Tanzania na Kenya wamefanya nini.UKAWA mjipange sana jina la Nyerere kubwa linaweza kuwaadaa waTanzania wengi.

You have spoken well mkuu...
 
Tayari wazee wa chama ikiwemo Mangula na wengineo wamepanga tayari mgombea wao.

Mzee Mkapa, Mzee Mwinyi na Karume wamepanga huyo ndiye awe.

Tayari wafadhili wanao aminika na chama wameamua huyo ndiye awe.

Tayari kinachoitwa 'system' wameamua huyo ndiye awe.

Tayari jamii za kimataifa zimeamua huyo ndiye awe.

Ila bado tu Watanzania walio wengi kuamua. Ila ieleweke, pamoja na mapenzi makubwa Watanzania waliyonayo kwa Lowassa, CCM imeamua vinginevyo.

Mgombea Urais Kupitia CCM 2015 ni Makongoro Nyerere. Confirmed.

UKAWA Jipangeni kivingine. Ile furaha yenu ya muda mfupi imekwisha ghafla.

Habari hii imfikie Pasco
 
Hamy D naona umeanza kuchanganyikiwa.... Makongoro ata ukimuweka na Kafulila atapigwa asubui na mapema
 
Gamba wanajua jinsi ya kucheza na akili za wadanganyika,
 
Back
Top Bottom