Tatizo vijana wengi mnaingia kwenye siasa kwa uoga,watanzania wa sasa wameshaichoka ccm,hata akigombea malaika kwa sasa ccm imeshapitwa na basi lielekealo ikulu,na kwa taarifa yako ccm wamepanga kumpitisha dr shein awe mgombea urais,ndiyo maana Jana Ally karume katangaza kugombea.kama una macho tazama hii movie
Nguvu ya Umma itampeleka Lowassa Ikulu .. subiri muone ... Huu utawala wa kifalme ktk Afrika utaisha lini? ... So baada ya Makongoro Nyerere ni Hussein Mwinyi au ...
ukoo wa panyatayari wazee wa chama ikiwemo mangula na wengineo wamepanga tayari mgombea wao.
Mzee mkapa, mzee mwinyi na karume wamepanga huyo ndiye awe.
Tayari wafadhili wanao aminika na chama wameamua huyo ndiye awe.
Tayari kinachoitwa 'system' wameamua huyo ndiye awe.
Tayari jamii za kimataifa zimeamua huyo ndiye awe.
Ila bado tu watanzania walio wengi kuamua. Ila ieleweke, pamoja na mapenzi makubwa watanzania waliyonayo kwa lowassa, ccm imeamua vinginevyo.
Mgombea urais kupitia ccm 2015 ni makongoro nyerere. Confirmed.
Ukawa jipangeni kivingine. Ile furaha yenu ya muda mfupi imekwisha ghafla.
Mkuu umekula like yangu kwa sababu thread za namna hii ndo zenye mashiko. Unakuta mtu amekazana Lowasa hafaiiiii, halafu hakuna mbadala. Pale huwa nakosa kujuwa sasa ni yupi tumjadili! Sasa huku vijiweni tunaanza kujadili huyu uliyemtaja, yaani Mako.Tayari wazee wa chama ikiwemo Mangula na wengineo wamepanga tayari mgombea wao.
Mzee Mkapa, Mzee Mwinyi na Karume wamepanga huyo ndiye awe.
Tayari wafadhili wanao aminika na chama wameamua huyo ndiye awe.
Tayari kinachoitwa 'system' wameamua huyo ndiye awe.
Tayari jamii za kimataifa zimeamua huyo ndiye awe.
Ila bado tu Watanzania walio wengi kuamua. Ila ieleweke, pamoja na mapenzi makubwa Watanzania waliyonayo kwa Lowassa, CCM imeamua vinginevyo.
Mgombea Urais Kupitia CCM 2015 ni Makongoro Nyerere. Confirmed.
UKAWA Jipangeni kivingine. Ile furaha yenu ya muda mfupi imekwisha ghafla.
lowasa akikatwa hakuna namna nyingie naamia upinzani ccm sio mama yangu
ki ukweli ccm waki mpitisha Makongoro UKAWA tutachapwa mapema sana...jina la Baba yake lita mbeba sana na jinsi watanzania wengi walivyo mazuzu mmhhh tuombe Mungu.
Tayari wazee wa chama ikiwemo Mangula na wengineo wamepanga tayari mgombea wao.